Benki Kuu ya Kenya yafungua jengo lililojengwa na kampuni ya China

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Benki kuu ya Kenya CBK imefungua jengo lililojengwa na kampuni ya China (CBK Pension Towers), ambalo liko katika kitovu cha Nairobi, nchini Kenya.

Kampuni ya ujenzi ya Wu Yi ya China imejenga jengo hilo la kisasa ambalo lina majengo marefu pacha yenye urefu wa mita 110. Jengo hilo lina sehemu mbili zinazounganishwa za ofisi, na iliyo refu zaidi ina ghorofa 27 na nyingine ina ghorofa 24.

Wakati akizindua rasmi jengo hilo, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema, kufuatia kufunguliwa kwa jengo hilo refu jijini Nairobi, Kenya imepata jengo jingine jipya la kipekee na lililotumia usanifu wa kisasa.

Rais huyo pia amesema, jengo hilo limetumia teknolojia ya kijani kwa kuwekwa taa zinazotumia nishati ya jua.

kenya.jpg
 
Wachina sijui kama hawajatega vifaa vyao humo vya kunasa sauti au kuiba pesa. Washenzi sana hao......na wakatili pia
 
Kapicha kunogesha
 
Attachments

  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    29.6 KB · Views: 38
  • unnamed.jpg
    unnamed.jpg
    56.8 KB · Views: 40
Benki kuu ya Kenya CBK imefungua jengo lililojengwa na kampuni ya China (CBK Pension Towers), ambalo liko katika kitovu cha Nairobi, nchini Kenya.

Kampuni ya ujenzi ya Wu Yi ya China imejenga jengo hilo la kisasa ambalo lina majengo marefu pacha yenye urefu wa mita 110. Jengo hilo lina sehemu mbili zinazounganishwa za ofisi, na iliyo refu zaidi ina ghorofa 27 na nyingine ina ghorofa 24.

Wakati akizindua rasmi jengo hilo, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema, kufuatia kufunguliwa kwa jengo hilo refu jijini Nairobi, Kenya imepata jengo jingine jipya la kipekee na lililotumia usanifu wa kisasa.

Rais huyo pia amesema, jengo hilo limetumia teknolojia ya kijani kwa kuwekwa taa zinazotumia nishati ya jua.

View attachment 2240464
Wachina kuna jambo lao hapa sio buree
 
Acheni ushamba jengo limejengwa kwa hela za wakenya, tena Pension Fund sio hela kutoka kwa Benki Kuu, wala Uchina. Architects ambao walichora jengo hilo ni wakenya, Arprim Consultants. Kampuni kutoka Uchina lilishinda kandarasi ya ujenzi tu. Alafu sio kwamba jengo hilo ndio makao makuu ya CBK.
 
Jengo limejengwa na Mchina maana yake the whole of Kunyaland haina kampuni ina uwezo kama Estim construction Tz!
 
Acheni ushamba jengo limejengwa kwa hela za wakenya, tena Pension Fund sio hela kutoka kwa Benki Kuu wala Uchina. Architects ambao walichora jengo hilo ni wakenya, Arprim Consultants. Kampuni kutoka Uchina lilishinda kandarasi ya ujenzi tu. Tena sio kwamba jengo hilo ndio makao makuu ya CBK.
Makao makuu ya CBK yapo wapi?
 
Acheni ushamba jengo limejengwa kwa hela za wakenya, tena Pension Fund sio hela kutoka kwa Benki Kuu, wala Uchina. Architects ambao walichora jengo hilo ni wakenya, Arprim Consultants. Kampuni kutoka Uchina lilishinda kandarasi ya ujenzi tu. Alafu sio kwamba jengo hilo ndio makao makuu ya CBK.
Hehehe.
 
At least limebuniwa na Mkenya.

Hili menu lilibuniwa na Mkenya na Kujengwa na Mchina.

View attachment 2243033

Alafu hiyo Estim construction wenyewe Hawa.

View attachment 2243035
kwani hamna wabunifu wa Kitanzania? PPF Tower? NSSF towers? Wacha ujinga huko Kunyaland hamna kampuni yenye capacity ya ku-undertake cconstruction of mega structures! FYI Estim is even in Kunyaland!
 
Ila your best building ilibuniwa na Mkenya.

Hiyo Estim ya Wahindi inaweza toshana na Epco builders ya Kenya? na Cementers?
 
Back
Top Bottom