Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Benki Kuu ya Tanzania imezitaka taasisi zote za kifedha ikiwemoo benki za biashara kupunguza gharama ya wateja kuhamisha fedha kutoka benki moja kwenda Nyingine. Katika barua yake BoT imesema imebaini kuwa kwa sasa watu wanalipishwa gharama kubwa sana kuhamisha fedha
Gharama mpya ambazo zimetajwa zitaleta unafuu zitaanza kutumika Mei Mosi. Angalia kiambatisho.
Gharama mpya ambazo zimetajwa zitaleta unafuu zitaanza kutumika Mei Mosi. Angalia kiambatisho.