Benki Kuu yatangaza nafuu kwa wanaohamisha fedha benki moja kwenda nyingine

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Benki Kuu ya Tanzania imezitaka taasisi zote za kifedha ikiwemoo benki za biashara kupunguza gharama ya wateja kuhamisha fedha kutoka benki moja kwenda Nyingine. Katika barua yake BoT imesema imebaini kuwa kwa sasa watu wanalipishwa gharama kubwa sana kuhamisha fedha

Gharama mpya ambazo zimetajwa zitaleta unafuu zitaanza kutumika Mei Mosi. Angalia kiambatisho.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…