Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Benki ya CRDB tawi la Mbagala imevamiwa na majambazi,Mbagala hakuendeki mpaka muda huu polisi imeizingira benki majambazi yapo ndani ya benki, kujisalimisha hayataki.
 
CRDB bank ya mbagala imevamiwa na majambazi,mbagala hakuendeki mpaka muda huu police imeizingira bank majambazi yapo ndani ya bank kujisalimisha hayataki.
Mkuu ni tetesi au ni uhakika?
 
Daah...hii habari mbaya. Polisi waonyeshe weledi wao hapo. Asichomoke hata mmoja
 
Hapo umakini mkubwa unahtajika vinginevyo kuna uwezekano mkubwa wa kuteketeza raia na pesa yote iliyopo ndani.
 
Kunani crdb mbagala?? Ai muda mrefu kulikuwa na uzi wa namna hii.
 
Imevamiwa sa ngap make me nmetoka mbagala mda sio mrefu.. cjaona dalili yoyote ya tofauti
 
Uhalifu umekuwa hatarious sana aisee hafu si ajabu hayo majambazo yaue watu wasio na hatia
 
Back
Top Bottom