Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kesi ya nini tenaNa isipokuwa kweli? Eeeh MUNGU saidi JF washinde ile kesi
Uuuwi uuuwiii..... mungu saidia hii mutu ipate akiliMimi tawi langu ndiyo hapo crdb mbagala wakiingia kwenye akaunti yangu watachukua hela yangu yote
Mwenye habari za uhakika atuhabarishe jamani, wenginetuna ndugu zetu hawapokei simu na humu wengine mnasema ni uzushi wengine mnasema kweliila mi nipo huku mbagala kilungule tumesikia sauti za bastola kama mara tatu,mpaka mwanangu akawahi kurudi shule wameambiwa rudini mana si shwari.
wanambinu zote wamefundishwadah hv kama wasipotoka hao majambazi polisi watachukua hatua gn, mana kwenye muv huwa naona askari mmoja anajisalimisha nakuacha silaha zote nje then anachoma ndani.
majambazi ya miaka hii sijui ikoje.. miaka ya nyuma kidogo wanapiga tukio na wanasepa kimya kimyaIla majambazi yanafanya dhambi kubwa sana kuua watu, bank zote zina insurance, wakiiba fedha bank zinarudishiwa fedha sasa kwa nini watoe uhai wa mtu wakati uhai auna insurance????????????? Aaaaahhhh mikaka jambazi akili haina kabisa
Nyingine watajua siku ya tukio hazifundishikiwanambinu zote wamefundishwa
ikitokea hali ya namha hiyo kitu ambacho huwa kinafanywa ni kupiga bomu la machoki ndani au bomu lenye kuchosha wote waliomu kwa muda na hapo askari hutumia nafas hiyo kuokoa au kuna watu wa CRT wanaweza wakaingia au kumua jambazi bila yeye kujua..snapers ndo kazi yao hapo sasa..jambazi anackncetrate kuangalia askari huku snaper akiwa anamtafutia target na huwa hakosidah hv kama wasipotoka hao majambazi polisi watachukua hatua gn, mana kwenye muv huwa naona askari mmoja anajisalimisha nakuacha silaha zote nje then anachoma ndani.
ujambazi wa aina hii una harufu ya ugaidimajambazi ya miaka hii sijui ikoje.. miaka ya nyuma kidogo wanapiga tukio na wanasepa kimya kimya
kweli kabisa wakiamua kufanya kama kwenye movie basi sawa tu muhimu raia watoke salamaNyingine watajua siku ya tukio hazifundishiki
Najaribu kuangalia id ya mtu aliyeleta habari hii hapa na kuamini kuwa yaweza kuwa kweli!Mwenye habari za uhakika atuhabarishe jamani, wenginetuna ndugu zetu hawapokei simu na humu wengine mnasema ni uzushi wengine mnasema kweli
mmh mi sijasemaujambazi wa aina hii una harufu ya ugaidi
Kwi kwi kwi kwi kwi!!Niko eneo la tukio...ngoja nichukue picha.
Ila huu uwingi wa watu utawafanya majambazi yajichanganye na raia wa ndani ya bank.
Siondoki mpaka nipige picha
Mkuu rsvp, ulichoongea wengi huenda wasikuelewe lakini ndicho kilicho cha msingi kuliko vyote.Kama itakuwa ni kweli,itakuwa ni mtihani kwa Vyombo vya ulinzi na usalama na Sekta za kibenki.
Benki kama ina kamera za ulinzi,zitumike kusoma tukio lilotokea.
Na Serikali nayo inatakiwa kulaumiwa,kwani imeendelea kuacha makazi holela na kutokuwa na mpangilio wa miji.
Siku chache zilizopita uvamizi kwenye tawi la benki umefanyika Mbagala.inaonekana wahalifu wanajificha katika makazi ambayo hayajapimwa.
Vile vile CRDB huwa wanatumia ulinzi wa askari wetu wa Polisi,leo kama tukio limetokea na askari wapo nje,sasa itabidi askari wabadili mbinu za ulinzi.
Wakati unasoma huu uzi ndo muda yaliyovamia.Imevamiwa sa ngap make me nmetoka mbagala mda sio mrefu.. cjaona dalili yoyote ya tofauti