Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

Polisi imejipanga imara,tukio kama hili halitatokea tena
 
Labda imevamiwa na wateja wengi na Mida ya kufunga imefika!
 
Mh hawa si majambazi wa kawaida, na kama wameshika na mateka ndio itakuwa balaa kabisa
 
Nimezoea kuona kwenye movie Detectives waki negotiate na wahalifu wa mazingira kama hayo ,sijui weledi wa kwetu hapa ukoje ,Mungu awasaidie wote ,walio hostage na hao askari wenyewe
 
Duh.. mbagala sio mchezo. Juz juz access bank leo crdb. Waende basi na BOT waibe hta ile mishahara ya wafanyakazi hewa
umesema jambo la maana sana, haiwezekani wapiga deal wa BOT watuibie pesa zetu kwa style ya kutoa mishahara kwa majina ya wafanyakazi hewa. Bora majambazi yavamie pale tujue pesa huwa zinaibwa na majambazi yanayotumia silaha kuliko huu uwizi wa karatasi na pen
 
Benki ya CRDB tawi la Mbagala imevamiwa na majambazi,Mbagala hakuendeki mpaka muda huu polisi imeizingira benki majambazi yapo ndani ya benki, kujisalimisha hayataki.
Hiyo sasa hatari, wasije wakaamua kuua wateja waluomo ndani
 
Mimi tawi langu ndiyo hapo crdb mbagala wakiingia kwenye akaunti yangu watachukua hela yangu yote
 
Swala LA fedha kupatikana mtaani limekuwa mama mkwe wa enzi izoo.

So then swala LA kupora na ujambazi kwa watu ambao hawakuzoea msoto they like short cut litadumu mpaka...

Shida ni kuua watu.
 
Back
Top Bottom