Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

ikitokea hali ya namha hiyo kitu ambacho huwa kinafanywa ni kupiga bomu la machoki ndani au bomu lenye kuchosha wote waliomu kwa muda na hapo askari hutumia nafas hiyo kuokoa au kuna watu wa CRT wanaweza wakaingia au kumua jambazi bila yeye kujua..snapers ndo kazi yao hapo sasa..jambazi anackncetrate kuangalia askari huku snaper akiwa anamtafutia target na huwa hakosi
Lahaula..eeeeh Mola weee.
Machoki = machozi
Snapers/snaper = Sniper
 
Benki ya CRDB tawi la Mbagala imevamiwa na majambazi,Mbagala hakuendeki mpaka muda huu polisi imeizingira benki majambazi yapo ndani ya benki, kujisalimisha hayataki.
Babaeee, hizo hela wanapelekaga wap jamani? Uwiiiii, yeuwuiiii, kelewiiiiiieee
 
Hizo habari sio za kweli nmefika sas ivi kuna askari wawili walinz wa bank wapo nje wanapga stor raia wanaingia na kutok km kawaida
 
Majuzi polisi walitoa video wakiwa mazoezini kukimbizana na majambazi wa benki hivi mpaka sasa wameshatumia zile mbinu zao katika matukio mangapi.
 
mwambie magu aendelee kufukuza watu kazi, kama wale vijana zaidi ya 200 wa NIDA na wale 1000
 
Hizo habari sio za kweli nmefika sas ivi kuna askari wawili walinz wa bank wapo nje wanapga stor raia wanaingia na kutok km kawaida

Sasa wanao leta taarifa ambazo si za uhakika wanakua na lengo gani? Kama wangeleta matani ya arusi au sherehe tungewaelewa lakini kuleta utani wa ujambazi/ugaidi! Hapo mnakosea sana.
 
Kama itakuwa ni kweli,itakuwa ni mtihani kwa Vyombo vya ulinzi na usalama na Sekta za kibenki.
Benki kama ina kamera za ulinzi,zitumike kusoma tukio lilotokea.
Na Serikali nayo inatakiwa kulaumiwa,kwani imeendelea kuacha makazi holela na kutokuwa na mpangilio wa miji.
Siku chache zilizopita uvamizi kwenye tawi la benki umefanyika Mbagala.inaonekana wahalifu wanajificha katika makazi ambayo hayajapimwa.
Vile vile CRDB huwa wanatumia ulinzi wa askari wetu wa Polisi,leo kama tukio limetokea na askari wapo nje,sasa itabidi askari wabadili mbinu za ulinzi.
Kwa mjibu wa utaratibu, hairuhusiwi kulanda landa ukiwa na mtutu ndani ya bank wakati wa kuhudumia wateja. Iwe ni polisi au raia wa kawaida.
 
Ila majambazi yanafanya dhambi kubwa sana kuua watu, bank zote zina insurance, wakiiba fedha bank zinarudishiwa fedha sasa kwa nini watoe uhai wa mtu wakati uhai auna insurance????????????? Aaaaahhhh mikaka jambazi akili haina kabisa
Utaratibu uliopo ni kutii amri. Umeambiwa toa hela... u better submit tena immediately
Lala chini... we lala fasta sio upandishe mlege au kutengeneza nywele!
Kinyume na hapo, basi risasi ni halali yako joh.
 
Niko eneo la tukio...ngoja nichukue picha.
Ila huu uwingi wa watu utawafanya majambazi yajichanganye na raia wa ndani ya bank.
Siondoki mpaka nipige picha
The Olympus has Fallen,
Magaid walitoroka kijanja toka white house
 
dah hv kama wasipotoka hao majambazi polisi watachukua hatua gn, mana kwenye muv huwa naona askari mmoja anajisalimisha nakuacha silaha zote nje then anachoma ndani.

Watamuomba Jackie Chen au Sylvester Stallone aje kuwasaidia kwa kuingia na kupambana na hao majambazi single handed..🙂🙂
 
Back
Top Bottom