Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

Benki ya CRDB tawi la Mbagala imevamiwa na majambazi,Mbagala hakuendeki mpaka muda huu polisi imeizingira benki majambazi yapo ndani ya benki, kujisalimisha hayataki.
mbona kuna tetesi haukuwa uporaji bali mteja na mlinzi walizozana ndani ya benki ndio polisi wakaingilia kati.
 
umesema jambo la maana sana, haiwezekani wapiga deal wa BOT watuibie pesa zetu kwa style ya kutoa mishahara kwa majina ya wafanyakazi hewa. Bora majambazi yavamie pale tujue pesa huwa zinaibwa na majambazi yanayotumia silaha kuliko huu uwizi wa karatasi na pen
Hao majambazi wenyewe wanajua kuwa kupanga hilo ni suicide. Uliziaulizia kidogo ndio utaelewa nilichokisema. Na sio wa bongo tu, hata serbia.
 
Back
Top Bottom