mbona kuna tetesi haukuwa uporaji bali mteja na mlinzi walizozana ndani ya benki ndio polisi wakaingilia kati.Benki ya CRDB tawi la Mbagala imevamiwa na majambazi,Mbagala hakuendeki mpaka muda huu polisi imeizingira benki majambazi yapo ndani ya benki, kujisalimisha hayataki.