Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Sure,me huwa naiangalia tena na tena,nimedokezwa kuna Part II ya the London has fallen imetoka hivi karibuni,ndo nataka niisakeAisee umenikumbusha mbali sana.
Mie napenda pale mwishoni pale Rais anapookolewa....yaani napapenda sana pale...nasisimuka kila eneo nikifika pale.
Kumbe walikamatwa kabla ya tukio.....!!!hii ni taarifa ya uongo. hakuna majambazi waliovamia isipokua nimeambiwa walikamatwa kabla ya kuvamia.source ndugu yangu anafanya biashara hapo opposite na benki.
Nao huwa wanazingua kweli Na mazoezi yao........wanatisha raia bila sababu za msingi.Isije ikawa ni mazoezi ya polisi
Umekosa bwana SI burewee qengeh unamlilia nani humu
hiyo picha vipi mi naisubiri!!Niko eneo la tukio...ngoja nichukue picha.
Ila huu uwingi wa watu utawafanya majambazi yajichanganye na raia wa ndani ya bank.
Siondoki mpaka nipige picha
Asante sana Madenge kwa hii taarifa.Wapendwa Wateja wetu!
Kuna Habari zinasambazwa Kwenye mitandao kuhusu tawi la benki ya CRDB Mbagala. Habari hiyo sio ya kweli na tunawaomba wateja wetu na watanzania kutosambaza taarifa ambazo hawana uhakika nazo au hawajui chanzo cha taarifa hizo. Usambazaji wa taarifa za namna hiyo ni kosa kisheria.
Ninawashauri Wateja wetu kutumia kituo chetu cha Huduma kwa Wateja kupata taarifa za uhakika. Kituo kinafanya kazi saa 24 na namba ya kituo ni 0714 197700. Asanteni!
Imetolewa na Idara ya Masoko ya benki ya CRDB
ujambazi wa aina hii una harufu ya ugaidi
jambilo;
Huachi kuzichokoza nyuki mzingani?? Hivi ikisikika jina la mmoja ni wa dini hiyo utasemaje?? Wale wameenda kujitoa mhanga banaa aah!
Wabongo bna yani hamuangalii maudhui ya mtu zaidi ya kufatilia makosa na kurekebisha ile hali mme elewaLahaula..eeeeh Mola weee.
Machoki = machozi
Snapers/snaper = Sniper
Acha upumbavu wewe kijana. Unawezaje kuangalia maudhui wakati hiyo sentensi imeandikwa Kiswahili ambacho kimechanganywa na kisambaa na kimatumbi!!???? HATUJAELEWA.Wabongo bna yani hamuangalii maudhui ya mtu zaidi ya kufatilia makosa na kurekebisha ile hali mme elewa
Aaaah kinyeo kipana nawe, tatizo unashinda jf tu hujui nini kinaendelea, pia usipende kuyatafsiri mambo kama uyaonavyo, kuwa GREAT THINKER basi hata siku mojamoja bnKesi ipi jf wanaokabiliwa mama makaliomakubwa?hii ni tetesi bado haina uhakika,
Unafikiri akaunti yako ni kisanduku ndani ya benki? Hata fedha yote ikichukuliwa kwenye Tawi hilo balance kwenye akaunti yako itabakia salama. Hiyo ni liability ya Benki...... watajuana na Insuarance companiesMimi tawi langu ndiyo hapo crdb mbagala wakiingia kwenye akaunti yangu watachukua hela yangu yote
sniper anatumia mazingira yoyote yale kufanya kazi! kwa hiyo haina haja kutaka kujua atakaa wapi!Snipers kwa majengo gani ya kibank? Sniper atakaa wapi?
Ha ha haa.Mimi tawi langu ndiyo hapo crdb mbagala wakiingia kwenye akaunti yangu watachukua hela yangu yote
Sio kwa mazingira ya majengo yanayotumika Na Bank za kitanzania!sniper anatumia mazingira yoyote yale kufanya kazi! kwa hiyo haina haja kutaka kujua atakaa wapi!