umesema jambo la maana sana, haiwezekani wapiga deal wa BOT watuibie pesa zetu kwa style ya kutoa mishahara kwa majina ya wafanyakazi hewa. Bora majambazi yavamie pale tujue pesa huwa zinaibwa na majambazi yanayotumia silaha kuliko huu uwizi wa karatasi na pen