Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

Nakushukru kwa kuliona hilo, unapunguza riba unaongeza muda. Ni wenye uelewa tu watakaosimama.
Elewa, miezi 84 ni hiari, unaweza kuishia 36 kulingana na shida na kiasi unachohitaji.
 
HUjapata shida.
Shida nimepata nyingi mno, ila wao wanaziendekeza shida mno... sasa mtu unasubiri mafao unaenda kopa ili mafao yakitoka ulipe tena pesa nyingi tu! Bora ukakope bank kuliko kwa wale jamaa utaishia kudhalilila tu na ukianza kukopa kwao wale ndio utakuwa ulevi wako utarudi kila siku
 
Benki ya CRDB imeitikia ombi la Rais John Pombe Magufuli, kuziomba benki nchini kupunguza riba ya mikopo ili kuwezesha wananchi kukopa na kufanya shughuli za maendeleo.
Kwa mujibu wa tangazo lililoandikwa kwenye mbao za matangazo za matawi ya benki hiyo, riba imeshuka kutoka asilimia 21 hadi 17%.

Chanzo: NIPASHE
 
Attachments

  • IMG_20180514_094507.jpg
    IMG_20180514_094507.jpg
    190.8 KB · Views: 78
Anae weza kushusha riba ni BOT benki zote zinatowa pesa BOT nazinaratibiwa na BOT Muache visingizio
 
Hongera JPM watakuelewa tu.
Bank zilikuwa zinatumia fedha ya Serikali kuikopesha Serikali
We poyoyo kweli! hebu rudia kusoma tena ujanja huu wa crdb wakati huo huo serikalini hakuna ongezeko la mshahara uone kama sio kutafuta kuumizana
 
Kuchukua mkopo wa muda mrefu ni sawa na kujitia kitanzi. Ukitaka kuona manufaa ya mkopo kama kipato ni kikubwa usichukue mkopo unaozidi miaka miwili
Absolutely right! Rejea jedwali la BancABC (BancABC) mikopo ya mwaka 1, 2, na 3 (miezi 12, 24, 34). Kwa mfano, ukichukua mkopo wa TZS. 35,000,000 hesabu yake inakuwa kama ifuatavyo:-

Kwa miezi 36: 1,282,960.70 x 36 = 46,186,585.20 (benki inachukua 46,186,585.2 - 35,000,000 = 11,186,585.20)
Kwa miezi 24: 1,764,301.60 x 24 = 42,343,238.40 (benki inachukua 42,343,238.40 - 35,000,000 = 7,343,238.40)
Kwa miezi 12: 3,225,480.24 x 12 = 38,705,762.88 (benki inachukua 38,705,762.88 - 35,000,000 = 3,705,762.88)

I have now got the concept; mikopo ya muda mrefu ni balaa. Na walivyo, they never clarify this to customers! Some sort of utapeli fulani.
 
Ukiambiwa 17% ujue hiyo inafika hadi zaidi ya 40% kuna kitu kinaitwa Compound interest.Form 3 syllabus ya 80's kitabu kina cover ya kijana sijui kea sasa.
 
Ukipunguza muda wa mkopo lazma ujue pia kuwa malipo yanaongezeka hakuna nafuu yoyote hapa.
Ukipunguza muda wa mkopo unakatwa kiwango kikubwa kulingana na mkopo wako lakini riba inakuwa ndogo.Unavolipa Kwa muda mrefu ndo riba inazidi.kuwa kubwa
 
7 years bob sio mchezo.Mtu unaweza kupokea take home laki 2 for the next 7 years kama mzaha vile hahah
 
Waliosoma Financial Management ndio watajua bank imefanya mchezo gani hapo.
 
Riba imepunguzwa kwasababu mkopaji halazimishwi kukopa kwa marejesho ya miaka saba, nashauri wakopaji wajitahidi kujiwekea limit ya marejesho kati ya miaka 2 au 3.
 
Absolutely right! Rejea jedwali la BancABC (BancABC) mikopo ya mwaka 1, 2, na 3 (miezi 12, 24, 34). Kwa mfano, ukichukua mkopo wa TZS. 35,000,000 hesabu yake inakuwa kama ifuatavyo:-

Kwa miezi 36: 1,282,960.70 x 36 = 46,186,585.20 (benki inachukua 46,186,585.2 - 35,000,000 = 11,186,585.20)
Kwa miezi 24: 1,764,301.60 x 24 = 42,343,238.40 (benki inachukua 42,343,238.40 - 35,000,000 = 7,343,238.40)
Kwa miezi 12: 3,225,480.24 x 12 = 38,705,762.88 (benki inachukua 38,705,762.88 - 35,000,000 = 3,705,762.88)

I have now got the concept; mikopo ya muda mrefu ni balaa. Na walivyo, they never clarify this to customers! Some sort of utapeli fulani.
Exactly mikopo ya muda mrefu ni majanga sana na haswa formula wanayotumia kucalculate mkopo watu hawailewi kwa kadri muda unavyokua mrefu wa kulipa mkopo ndo unawatengenezea pesa ndefu hatari
 
Back
Top Bottom