Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa, miezi 84 ni hiari, unaweza kuishia 36 kulingana na shida na kiasi unachohitaji.Nakushukru kwa kuliona hilo, unapunguza riba unaongeza muda. Ni wenye uelewa tu watakaosimama.
Shida nimepata nyingi mno, ila wao wanaziendekeza shida mno... sasa mtu unasubiri mafao unaenda kopa ili mafao yakitoka ulipe tena pesa nyingi tu! Bora ukakope bank kuliko kwa wale jamaa utaishia kudhalilila tu na ukianza kukopa kwao wale ndio utakuwa ulevi wako utarudi kila sikuHUjapata shida.
Saaana Aisee , tuliowahi kukopa tunakuelewa15% is a lot
Hiyo miezi 84 unakuwa mtumwa wa maisha
Bora kujiweka pembeni
Ukipunguza muda wa mkopo lazma ujue pia kuwa malipo yanaongezeka hakuna nafuu yoyote hapa.Elewa, miezi 84 ni hiari, unaweza kuishia 36 kulingana na shida na kiasi unachohitaji.
We poyoyo kweli! hebu rudia kusoma tena ujanja huu wa crdb wakati huo huo serikalini hakuna ongezeko la mshahara uone kama sio kutafuta kuumizanaHongera JPM watakuelewa tu.
Bank zilikuwa zinatumia fedha ya Serikali kuikopesha Serikali
Absolutely right! Rejea jedwali la BancABC (BancABC) mikopo ya mwaka 1, 2, na 3 (miezi 12, 24, 34). Kwa mfano, ukichukua mkopo wa TZS. 35,000,000 hesabu yake inakuwa kama ifuatavyo:-Kuchukua mkopo wa muda mrefu ni sawa na kujitia kitanzi. Ukitaka kuona manufaa ya mkopo kama kipato ni kikubwa usichukue mkopo unaozidi miaka miwili
Ukipunguza muda wa mkopo unakatwa kiwango kikubwa kulingana na mkopo wako lakini riba inakuwa ndogo.Unavolipa Kwa muda mrefu ndo riba inazidi.kuwa kubwaUkipunguza muda wa mkopo lazma ujue pia kuwa malipo yanaongezeka hakuna nafuu yoyote hapa.
We si hua unapiga mamilioni kule kwny FOREX unataka mkopo wa nini?Tatizo la crdb masharti ya kukopa ni magumu mno
Sio kweli, Bank ABC ni 17% sio 11% acha uzandiki.ila crdb wasidanganye watu benki pekee iliyoshusha riba ni BankABC ambayo riba ni 11% wao wanaweka kiini macho
Exactly mikopo ya muda mrefu ni majanga sana na haswa formula wanayotumia kucalculate mkopo watu hawailewi kwa kadri muda unavyokua mrefu wa kulipa mkopo ndo unawatengenezea pesa ndefu hatariAbsolutely right! Rejea jedwali la BancABC (BancABC) mikopo ya mwaka 1, 2, na 3 (miezi 12, 24, 34). Kwa mfano, ukichukua mkopo wa TZS. 35,000,000 hesabu yake inakuwa kama ifuatavyo:-
Kwa miezi 36: 1,282,960.70 x 36 = 46,186,585.20 (benki inachukua 46,186,585.2 - 35,000,000 = 11,186,585.20)
Kwa miezi 24: 1,764,301.60 x 24 = 42,343,238.40 (benki inachukua 42,343,238.40 - 35,000,000 = 7,343,238.40)
Kwa miezi 12: 3,225,480.24 x 12 = 38,705,762.88 (benki inachukua 38,705,762.88 - 35,000,000 = 3,705,762.88)
I have now got the concept; mikopo ya muda mrefu ni balaa. Na walivyo, they never clarify this to customers! Some sort of utapeli fulani.