Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

I beg to differ.

The problem am seeing is that most people read the attached Citizen paper for posthaste comments not to understand the basics.

Let's face it; the debt distress named in the paper isn't because SSH is seeking for more loans but rather due to Covid-19 that tremendously impacted tourism sector hence derailed debt payoff.

Any country with massive financial collaterals like we do would risk to secure additional loans to get development into right pathways.

My distrust, though lies within the ccm's corrupt systems.
 
Screenshot_20220301-231037~2.jpg
 
Hawa WB si wametukopesha hela juzi? Au tuseme walimkopesha Mama Samia,nisije kuambiwa kwamba najifikiria kiongozi wa nchi.

Hii ni confusion. Kwanza wanatukopesja hela halafu wanaosema hatuwezi kuzilipa.

Ndio inasemwa siku zote,watu wanalipwa kusema,"haya madeni,bwana,haya madeni yanalipika,msiwe na wasiwasi"
 
wapo watu wameongea sana juu ya hili swala la kukopa kopa ovyo lakini ikaonekana kama shule yao no ndogo sana na hivyo hoja zao hazina mashiko

tuendeleeni tu kujifukiza ila time will tell
Nyerere alikuwa anasistiza sana dhana ya kujitegemea akisema "...kujitawala ni kujitegemea.

Kujitawala kwa kweli hakuwezekani iwapo taifa moja linategemea misaada na mikopo kutoka taifa jingine kwa maendeleo yake....." Nakumbuka sana maneno hayo.

Ila kupitia sera zake, maisha yalikuwa magumu hadi tulipopata misaada na mikopo ya IMFna World bank wakati wa mwinyi. Kuanzia hapo watanzania hatuamini dhana ya kujitegemea tena, tumedumaza akili zetu kuwa wa kutegemea misaada na mikopo tu.

Kuna wakati wanasiasa hufikia kusema tusifanye mambo fulani kwa vile yatatukosesha misaada. Nakumbuka tuliwahi kuwa na rais akisema kuwa kila anaposafiri hurudi na kibaba cha misaada na mikopo.

Bila kukwamua mawazo yetu kuelekeza kujitegemea tukijua kuwa tunatakiwa tutoe jasho letu kupata maendeleo, tutabaki wa kuwa omba omba tu.

Tabia ya watanzania ya kutaka pesa za mkatomkato tu kwa kupitia misheni town inapozidi kubarikiwa na serikali, ujue nchi inakuwa inaingia kwenye korongo.
 
Mama sa 100 kwa sasa kafikisha til 1.43kwa mwezi tukisema huyu mjabiani mpumbavu watu wanadhani tunamtukana ,tanzania ni muhimu kuliko sa100 ,ni lazima bunge na nchi iweke viwango vya kukopa kwa mwaka, kwa raisi yoyote.

Mikopo imekuwa mingi wala hakuna kinacho fanyika chochote cha maana pesa zinachukuliwa na kutiwa mifukoni, hatuoni miradi mipya ya kimikakati wala kitu chochote kinacho kwenda sawa.
 
Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.

Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .

View attachment 2135548

View attachment 2135549
Tulikuambia huyu kaba hana tofauti ya upumbavu na yule mfalme zumaridi ,wanasema wanakusanya kodi mara nyingi kushinda magufuli sasa mbona hakuna kinacho fanyika kinacho endana na ilo ongezeko la kodi ,kama makusanyo ysmeongezeka mbona tunazidi kuwa tegemezi wa mikopo kuliko zamani je ufisadi umeongezeka ?

SASA UMEFIKA WAKATI WA KWENDA LIVE KWA KUSEMA TOKOMEZA MUHUNI SA100
 
Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.

Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .

View attachment 2135548

View attachment 2135549
Bibi tozo madeni yakimzidia tutamshauri aiweke Unguja na viunga vyake rehani ili tuweze kustahimili hiyo hali
 

Report yenyewe hiyo hapo, mikopo ya mama aiwezi kuwa shida kwa sasa; na kukopa sio tatizo if you are below the threshold.

Tatizo ni kwenye kulipa na hilo swala alitaki mzaha kwenye makusanyo, debt stress test inapimwa na makusanyo kuangalia chances of defaulting.

Nakuongezeka kwa risk sio jambo zuri japo ni moderate risk, private lenders soon watatakiwa ku confer na IMF/WB kabla ya kuikopa Tanzania; vinginevyo kuikopesha nchi yenye high default risk ni irresponsible lending.

Sasa waendelee na hadithi zao TRA ipo poa au wawe serious kwenye kukusanya mapato na kuongeza walipa kodi (biashara mpya), vinginevyo watabuni tozo mpya kila siku wapate hela za kulipa madeni mpaka watanzania akili zao zikae sawa.
 
Wajuzi walikuwa wakisema awamu fulani hapo nyuma kwamba tupo kwenye 'auto piloting'.

Sasa sielewi kama kweli kuna vision kama taifa maana wakati wa mwendazake ambapo wa sasa alikuwa VP propaganda zote zilikuwa ni kutangaza 'trillions' za makusanyo na kuvuka malengo pamoja na magawio.

Kwa sasa kila kukicha unasikia matangazo ya 'haijawahi kutokea' kwa bagging za matrillions ya mikopo.

Ukiuliza wenyewe wanasema eti ni ya masharti nafuu, somehow disturbing maana hadi sasa sijasikia pahala popote uuzwaji wa Ngorongoro ukikanushwa
 
Back
Top Bottom