Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Soma vizuri,lugha ya malikia imewapitia pembeni.Hii ni Hatari sana Tunawakati mgumu kamaTaifa
Ni kutokana na kushuka idadi ya watalii,kutokana na Uviko 19.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri,lugha ya malikia imewapitia pembeni.Hii ni Hatari sana Tunawakati mgumu kamaTaifa
Lugha ya malikia imewapita pembeni,soma vizuri.Imeandikwa ni kutokana na kupunguwa kwa watalii,kuliko sababishwa na uviko 19.Chama Cha Mazezeta kimeshindwa kubadilisha rasilimali nyingi tulizonazo kuwa mali.
Tatizo lugha ya malikia imewapita pembeni.Sababu ni kupunguwa kwa watalii,kutokana na Uviko 19.wapo watu wameongea sana juu ya hili swala la kukopa kopa ovyo lakini ikaonekana kama shule yao no ndogo sana na hivyo hoja zao hazina mashiko
tuendeleeni tu kujifukiza ila time will tell
Tatizo lugha ya malikia imewapita pembeni.Hapo imeandikwa,kilichosababisha ni kukosekana kwa watalii,kutokana na Uviko 19.Huku bibi akiendelea kuchukua vihela vya mikopo kila akienda kwenye utalii wake
Wewe ni mpiga debe hujui mtandao huu ankifisadi chini ya rais mtaafu mmoja mwenye mahusiano yasiyofaa na ChidiHakuna mkopo wa kinyemela kwa SSH,mikopo ya kinyemela ilichujukiwa na Jiwe na ndio hii inaleta shida.
Mikopo inapitishwa Bungeni na inaridhiwa na Bunge, Serikali ya SSH hawakopi Nje ya bajeti.
Kwani debt distress haiwezi kusababishwa na kukopa kuzidi uwezo wako wa kulipa...........kwani nchi ambazo hazina watalii wana survive vipi, akili za kipimbi hizi...........Tatizo lugha ya malikia imewapita pembeni.Sababu ni kupunguwa kwa watalii,kutokana na Uviko 19.
Tatizo lugha ya malikia,imewapita pembeni.Imeandikwa kutokana na kupunguwa kwa watalii,kulikosababishwa na UVIKO 19.Hawa WB si wametukopesha hela juzi? Au tuseme walimkopesha Mama Samia,nisije kuambiwa kwamba najifikiria kiongozi wa nchi.
Hii ni confusion. Kwanza wanatukopesja hela halafu wanaosema hatuwezi kuzilipa. Ndio inasemwa siku zote,watu wanalipwa kusema,"haya madeni,bwana,haya madeni yanalipika,msiwe na wasiwasi"
Lugha ya malikia imewapita pembeni.Imeandikwa,imesababishwa na kupunguwa kwa watalii,kutokana na Uviko 19.taratibu achosema Ndugai kinakwenda kutokea
Tatizo lugha ya malikia,imewapita pembeni.Imeandikwa,kutokana na kupunguwa watalii,kulikosababishwa na Uviko 19.Bibi tozo madeni yakimzidia tutamshauri aiweke Unguja na viunga vyake rehani ili tuweze kustahimili hiyo hali
Lugha ya malikia imewapita pembeni,tatizo ni kupunguwa kwa watalii,kutokana na uviko 19.Tuliyasema humu tukaitwa Sukuma gang,kuwa tunamwonea Mama wivu,Sasa harm imeisha anza kulia,Sijui hitter wa mama wanamaoni gani, nakumbuka Magufuli alikuwa akikataa mikopo hii ya kijingajinga, eti Mtu anakopa matrillion Kwa ajili ya kugeuza miji mitatu kuwa green na kujenga madalasa,kisa kuna masharit nafuu,ni ujinga wa kutotumia akili vizuri, kwenye kujenga madalasa hata angeliwapiga mkwala watendaji Wake wakuu wa mikoa na wilaya haya madalasa yangejengwa tu, Maana kwenye alimashauli kuna ela nyingi zinakusanywa na kuliwa tu.tabu rais na Watanzania tunapenda mserereko tunataka kila kitu kifanywe na mzungu.
Kukopa kopa hovyo ndio kukoje?
Tunajua tu kibaya anapewa Magufuli,kizuri anapewa Samia lakini sisi Watanganyika tumeisha kuwa na akili za kupambanua kati ya pumba na mchele.WB sio wajinga kiasi hicho, mbona hatujawai kusikia wanatoa ilo onyo Wakati wa Magufuli?tena pamoja na kukopa hayo mabenki watangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati, Magufuli alokopa kwa akili na akaweza kwenye miundombinu ya kunyanyua uchumi na alijitaidi kiziba mianya mingi ya uvujaji wa mapato, Sasahivi Samia kaisha kopa matrillion ya shilingi hayaonekani yamefanya Kazi gani, sanasana tunaambiwa yamejenga madalasa tu kitu ambocho ni ujinga mtupu, kukopa trion eti kwa ajili ya vyumba vya madarasa, Wakati hiyo kazi ni kazi za wakuu wa mikoa na wilaya,kitu ambacho kilifanywa na Magufuli alijenga vituo vya afya,masoko,na hayo madalasa, nakumbuka wakati Magufuli anachukua madaraka alikuta tatizo la madawati na upungufu wa vitanda Muhimbili na maospital mengine, atukuona akienda kukopa alipiga mkwala watendaji Wake hayo matatizo yakawa historia,Samia wenu anakopa matrillion alafu anazimalizia kwenye safari, Tanzania atuwezi piga hatua chini ya Samia, kama hatabadirika,Kama unabisha subiri uone amalize miaka ya mimne ya uongozi,Haina haja ya kupotosha,hiyo debt stress haitokani na mikopo ya Samia bali mikopo ya Mwendazake aliyochukua kwa riba kubwa na mda mfupi, yaani mikopo ya kibiashara ndiyo imewahi kuiva.
Sukuma gang hamna cha kujitetea ,nyie ndio mumetufikisha hapa.Kuna hotuba fulani Samia aliwahi zungumzia hili la debt stress kwamba Mwigulu alimpigia simu usiku kumwambia kwamba mikopo imeiva inatakiwa kurudishwa.
Hapo ndivyo ilivyoandikwa kwenye lugha ya malikia,kwenye ripoti ya WB,sasa wewe ping ana na hiyo ripoti.Imeandikwa kutokana na kupunguwa watalii,kulikosababishwa na Uviko 19.Sasa ipinge hiyo ripoti ya WB.Kwani debt distress haiwezi kusababishwa na kukopa kuzidi uwezo wako wa kulipa...........kwani nchi ambazo hazina watalii wana survive vipi, akili za kipimbi hizi...........
😀😀😀Itakuwa Nduggay kapeleka umbea
Lugha ya malikia imewapita pembeni.Ripoti imeandikwa,ni kutokana na kupunguwa watalii,kulikosababishwa na uviko 19.Ni kpsa kubwa kwa Samia kumtegemea mnafiki, mwongo, mpenda madaraka Mwigulu kwenye mbinu za uchumi.
Mwigulu alijifanya kupingana na Magufuli, Magufuli akamwondoa kwenye uwaziri. Akaanza kumsifia Magufuli kama mwehu, Magufuli akamrudisha. Mtu wa nna hiyo, kamwe hawezi kukushauri katika ukweli.
Rais Samia ni vema akakazania kutafuta uwekezaji na misaada, na siyo mikopo. Bahati mbaya kwenye misaada, hawezi kuipata sana kwa sababu hajaaminika na jamii ya Dunia kama ni Rais anayesimama katika misingi ya utawala wa haki na demokrasia.