Tunajua tu kibaya anapewa Magufuli,kizuri anapewa Samia lakini sisi Watanganyika tumeisha kuwa na akili za kupambanua kati ya pumba na mchele.WB sio wajinga kiasi hicho, mbona hatujawai kusikia wanatoa ilo onyo Wakati wa Magufuli?tena pamoja na kukopa hayo mabenki watangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati, Magufuli alokopa kwa akili na akaweza kwenye miundombinu ya kunyanyua uchumi na alijitaidi kiziba mianya mingi ya uvujaji wa mapato, Sasahivi Samia kaisha kopa matrillion ya shilingi hayaonekani yamefanya Kazi gani, sanasana tunaambiwa yamejenga madalasa tu kitu ambocho ni ujinga mtupu, kukopa trion eti kwa ajili ya vyumba vya madarasa, Wakati hiyo kazi ni kazi za wakuu wa mikoa na wilaya,kitu ambacho kilifanywa na Magufuli alijenga vituo vya afya,masoko,na hayo madalasa, nakumbuka wakati Magufuli anachukua madaraka alikuta tatizo la madawati na upungufu wa vitanda Muhimbili na maospital mengine, atukuona akienda kukopa alipiga mkwala watendaji Wake hayo matatizo yakawa historia,Samia wenu anakopa matrillion alafu anazimalizia kwenye safari, Tanzania atuwezi piga hatua chini ya Samia, kama hatabadirika,Kama unabisha subiri uone amalize miaka ya mimne ya uongozi,