Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.

Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .

View attachment 2135548

View attachment 2135549
Tuliyasema humu tukaitwa Sukuma gang,kuwa tunamwonea Mama wivu,Sasa harm imeisha anza kulia,Sijui hitter wa mama wanamaoni gani, nakumbuka Magufuli alikuwa akikataa mikopo hii ya kijingajinga,

Mtu anakopa matrillion Kwa ajili ya kugeuza miji mitatu kuwa green na kujenga madalasa,kisa kuna masharit nafuu,ni ujinga wa kutotumia akili vizuri, kwenye kujenga madalasa hata angeliwapiga mkwala watendaji Wake wakuu wa mikoa na wilaya haya madalasa yangejengwa tu,

Maana kwenye alimashauli kuna ela nyingi zinakusanywa na kuliwa tu.tabu rais na Watanzania tunapenda mserereko tunataka kila kitu kifanywe na mzungu.
 
Tuliyasema humu tukaitwa Sukuma gang,kuwa tunamwonea Mama wivu,Sasa harm imeisha anza kulia,Sijui hitter wa mama wanamaoni gani, nakumbuka Magufuli alikuwa akikataa mikopo hii ya kijingajinga, eti Mtu anakopa matrillion Kwa ajili ya kugeuza miji mitatu kuwa green na kujenga madalasa,kisa kuna masharit nafuu,ni ujinga wa kutotumia akili vizuri, kwenye kujenga madalasa hata angeliwapiga mkwala watendaji Wake wakuu wa mikoa na wilaya haya madalasa yangejengwa tu, Maana kwenye alimashauli kuna ela nyingi zinakusanywa na kuliwa tu.tabu rais na Watanzania tunapenda mserereko tunataka kila kitu kifanywe na mzungu.
Haina haja ya kupotosha,hiyo debt stress haitokani na mikopo ya Samia bali mikopo ya Mwendazake aliyochukua kwa riba kubwa na mda mfupi, yaani mikopo ya kibiashara ndiyo imewahi kuiva.

Sukuma gang hamna cha kujitetea ,nyie ndio mumetufikisha hapa.Kuna hotuba fulani Samia aliwahi zungumzia hili la debt stress kwamba Mwigulu alimpigia simu usiku kumwambia kwamba mikopo imeiva inatakiwa kurudishwa.
 
Akili zimeanza kurudi kwako naona😂
Akili zipi? Kwa hali ya Sasa mjiandae kukabwa kwenye Kodi maana hii mikopo iliyoiva ni ya Mwendazake na nyie waimba pambio wake ,ndio mumetufikisha hapa.
 
Serikali ijikite kutafuta grants au soft loans kukamilisha strategic projects kama SGR, stiglaz ambazo zinaweza kuwa na multiplier effect kwenye uchumi, hapa haitakiwi siasa tena bali akili kubwa............lazima waje na debt distress mitigation strategies ambazo hazitawaumiza wananchi kwa kuwawekea tozo zaidi.​
 
Sasa pale serikali ya ccm nani unayemuona anakaribia kuwa na akili kubwa ?
 
Hivi Maza hawezi mdemkia kiongozi wa WB kama alivyomdemkia Mr. Sabufa?
 
Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.

Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .

View attachment 2135548

View attachment 2135549
Tatizo mikopo inachukuliwa kinyemela, hatuna wawakilishi wa wananchi bungeni, matokeo yake wanajichotea pesa watakavyo
 
Tatizo mikopo inachukuliwa kinyemela, hatuna wawakilishi wa wananchi bungeni, matokeo yake wanajichotea pesa watakavyo
Hakuna mkopo wa kinyemela kwa SSH,mikopo ya kinyemela ilichujukiwa na Jiwe na ndio hii inaleta shida.

Mikopo inapitishwa Bungeni na inaridhiwa na Bunge, Serikali ya SSH hawakopi Nje ya bajeti.
 
Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.

Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .

View attachment 2135548

View attachment 2135549
Ni kwa ajili ya Uviko 19,sio kwa ajili nyingine yoyote.Shida ni lugha ya malikia imewapita pembeni.
 
Back
Top Bottom