Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Sisi wa tozo tuliambiwa tuende Burundi wao wataambiwa waende Ukraine.WB waongee na Kiongozi wetu Milugwu kwanza maana hakosagi cha kujibu yule.
Nyerere alikuwa anasistiza sana dhana ya kujitegemea akisema "...kujitawala ni kujitegemea.wapo watu wameongea sana juu ya hili swala la kukopa kopa ovyo lakini ikaonekana kama shule yao no ndogo sana na hivyo hoja zao hazina mashiko
tuendeleeni tu kujifukiza ila time will tell
taratibu achosema Ndugai kinakwenda kutokeaTathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.
Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .
View attachment 2135548
View attachment 2135549
Tulikuambia huyu kaba hana tofauti ya upumbavu na yule mfalme zumaridi ,wanasema wanakusanya kodi mara nyingi kushinda magufuli sasa mbona hakuna kinacho fanyika kinacho endana na ilo ongezeko la kodi ,kama makusanyo ysmeongezeka mbona tunazidi kuwa tegemezi wa mikopo kuliko zamani je ufisadi umeongezeka ?Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.
Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .
View attachment 2135548
View attachment 2135549
Mwacheni mzee apumzikeNdugai amepata mtetezi,anaweza pata faraja huko aliko''
Bibi tozo madeni yakimzidia tutamshauri aiweke Unguja na viunga vyake rehani ili tuweze kustahimili hiyo haliTathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.
Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .
View attachment 2135548
View attachment 2135549
Akili zimeanza kurudi kwako naona😂Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.
Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .
View attachment 2135548
View attachment 2135549
Hata madaraka wakishika Chadema hakuna jipya watakalofanya, akili za watanzania ndio zile zile tu.Chama Cha Mazezeta kimeshindwa kubadilisha rasilimali nyingi tulizonazo kuwa mali.