Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Hawa walalamikaji,ndio watumiaji wakubwa wa hiyo miradi,ndege,barabara,madaraja,meli,vivuko,mahospital,maofisi nk.Badala ya kufuatilia fursa za biashara na uwekezaji,wao ni kulalamika,fursa za biashara na uwekezaji,wanawachia wageni.Hayati JPM aliacha miradi mingi ikiwa ipo nusu, haijamaliziwa. Na watanzania kila kitu kwao ni malalamiko tu. Zimekuja tozo wamelalamika sana tu wakisahau yale ni mapato ya ndani.
Tunaingiza siasa katika kila kinachofanywa na serikali. Maendeleo ni kujinyima siku zote.
Na huko kukosa pato la watalii,kumesababishwa na uviko 19,kwa mujibu wa ripoti ya WB,hiyo iliwekwa humu jf.Manake pato tulilitegemea kupitia watalii lilipotea ndio mana tukaenda kukopa...so bado tuko mule mule kwenye mikopo.
#MaendeleoHayanaChama
Muhimu umeelewa.Kwa hiyo nikusaidie nini ?
Bwashee, unategemea nn kutoka kwa Dr. wa Mchongo?!.Duh.......na Putin ndio ataharibu kabisa nguvu ya ulipaji madeni.
Dr Mwigullu Nchemba ndio katupandisha nafasi hadi moderate!
Changamoto ya nchi zetu za kiafrica... Kodi nying inatumika katika vitu visivyo vya msingi na ela za mikopo ndio za maendeleo...Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.
Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .
=======
Tanzania's risk of debt distress has worsened, says World Bank Report
The World Bank has on Tuesday March 1 said that the risk of debt distress in the country has worsened from low to moderate exacerbated by poor performance of the tourism sector due to Covid-19 concerns.
This is according to the 17th Tanzania Economic Update, as released by the World Bank on March 1, 2022.
This, as a result has led to borrowing of non-concessional loans from financial partners in order to keep the economy afloat.
As a result, the risk that Tanzania might fall into debt distress has been reaffirmed by the World Bank.
However, the international financial body advised on key areas that might help the country avert debt burdens.
The bank says it includes enhancement of public-sector debt statistics, focusing on projects that promise clear socioeconomic payoffs, balancing emergency spending with broader development agenda.
Source: The Citizen
Til.10Ngoja nikuulize hili, bunge limepitisha tukope kiasi gani?
Mkumbushe ukiwa na marais wa pwani ni shidaHatukusamehewa wakati wa Kikwete.
Sio kweli, naomba ulete kipande Cha sehemu ya bajeti kinachosena ni trillion 10.Til.10
Bila kuondoa ccm hiki unachotamani kitokee itakuwa ndotoWakati huo walioko watakuwa wanaitwa wastaafu wasioguswa. Ipo siku atakuja Raisi kichaa na Bunge la vichaa watakaotengua Kinga za viongozi zisizo na tija.
Unakopa Hela matumizi yake ni kuendeshea kesi bandia na kujenga matundu ya vyooKukopa kopa hovyo ndio kukoje?
Umezaliwa mwaka 2000 na kulishwa crap mbalimbali za kumchukia Nyerere, ndiyo maana unafikiria kutoka kwenye "makabrasha." Mimi nimekulia ndani ya utawala wa Nyerere na ninaju nchi ilivyoenedshwa wakati wa utawala wake pamoja na siasa zake za ujamaa na kujitegemea; sikusimuliwa au kusoma kwenye makbrasha kama wewe.Utawala upi wa nyerere uliojitegemea!?....pekua vizuri makabrasha yako,huenda ndiyo nchi iliyokua ikipewa feddha kuliko nchi yoyote afrika
Ukijengea vyok vya shule kuna tatizo gani? Ni sawa na kulipia salary au kununulia magari?Unakopa Hela matumizi yake ni kuendeshea kesi bandia na kujenga matundu ya vyoo
Maza anaupiga mwingi, rubbishTathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.
Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .
=======
Tanzania's risk of debt distress has worsened, says World Bank Report
The World Bank has on Tuesday March 1 said that the risk of debt distress in the country has worsened from low to moderate exacerbated by poor performance of the tourism sector due to Covid-19 concerns.
This is according to the 17th Tanzania Economic Update, as released by the World Bank on March 1, 2022.
This, as a result has led to borrowing of non-concessional loans from financial partners in order to keep the economy afloat.
As a result, the risk that Tanzania might fall into debt distress has been reaffirmed by the World Bank.
However, the international financial body advised on key areas that might help the country avert debt burdens.
The bank says it includes enhancement of public-sector debt statistics, focusing on projects that promise clear socioeconomic payoffs, balancing emergency spending with broader development agenda.
Source: The Citizen
Dingi umeshuhudia utawala wa ticha? hatari sn na heshima kwakoUmezaliwa mwaka 2000 na kulishwa crap mbalimbali za kumchukia Nyerere, ndiyo maana unafikiria kutoka kwenye "makabrasha." Mimi nimekulia ndani ya utawala wa Nyerere na ninaju nchi ilivyoenedshwa wakati wa utawala wake pamoja na siasa zake za ujamaa na kujitegemea; sikusimuliwa au kusoma kwenye makbrasha kama wewe.
Hakuna sehemu alikosema serikalikubali misaada, bali alisema serikali haiwezi kujiendesha kwa kutegemea misaada na mikopo. Misaada yote aliyopewa Nyerere ilikuwa inakwenda moja kwa moja kule kulikokusudiwa na watoa misaada hiyo, haikuwa sehemu ya bajeti ya serikali. Hakukuwa na bajeti ya Jamal au ya Mtei au ya Msuya iliyokuwa na kipande kinachosema bajeti ya "serikali itakuwa kiasi kadhaa, kiasi kadhaa tutakusanya mapato ya ndani, na kiasi kadhaa tutategemea misaada na mikopo kutoka kwa wahisani." Kama hujui kwa nini Nyerere hakutaka kutegemea serikali misaada soma historia iliyoepelekea kuvunjika kwa uhusiano kati ya Tanzania na Ujerumani mwaka 1965 na kuvunjika kwa uhusiani kati ya Tanzania na Ujerumani mwaka 1964 baada ya Muungano.
Nimechekaaaaaaaaaa😅Itakuwa Nduggay kapeleka umbea
Usiseme sana maana Job atasikia 😂 😂 😂 😂 😂 😂Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.
Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .
=======
Tanzania's risk of debt distress has worsened, says World Bank Report
The World Bank has on Tuesday March 1 said that the risk of debt distress in the country has worsened from low to moderate exacerbated by poor performance of the tourism sector due to Covid-19 concerns.
This is according to the 17th Tanzania Economic Update, as released by the World Bank on March 1, 2022.
This, as a result has led to borrowing of non-concessional loans from financial partners in order to keep the economy afloat.
As a result, the risk that Tanzania might fall into debt distress has been reaffirmed by the World Bank.
However, the international financial body advised on key areas that might help the country avert debt burdens.
The bank says it includes enhancement of public-sector debt statistics, focusing on projects that promise clear socioeconomic payoffs, balancing emergency spending with broader development agenda.
Source: The Citizen
Fundisha hao vijana wanajifanya wajuaji! Misaada yote iliyokuwa inaletwa nchini ilikuwa inasimamiwa moja kwa moja na watoaji, kwa mfano danida walisimamia miradi ya maji Mbeya, Iringa na Ruvuma; Finida walisimamia Mtwara na Lindi; Norad walisimamia Rukwa na Kigoma nk.Umezaliwa mwaka 2000 na kulishwa crap mbalimbali za kumchukia Nyerere, ndiyo maana unafikiria kutoka kwenye "makabrasha." Mimi nimekulia ndani ya utawala wa Nyerere na ninaju nchi ilivyoenedshwa wakati wa utawala wake pamoja na siasa zake za ujamaa na kujitegemea; sikusimuliwa au kusoma kwenye makbrasha kama wewe.
Hakuna sehemu alikosema serikalikubali misaada, bali alisema serikali haiwezi kujiendesha kwa kutegemea misaada na mikopo. Misaada yote aliyopewa Nyerere ilikuwa inakwenda moja kwa moja kule kulikokusudiwa na watoa misaada hiyo, haikuwa sehemu ya bajeti ya serikali. Hakukuwa na bajeti ya Jamal au ya Mtei au ya Msuya iliyokuwa na kipande kinachosema bajeti ya "serikali itakuwa kiasi kadhaa, kiasi kadhaa tutakusanya mapato ya ndani, na kiasi kadhaa tutategemea misaada na mikopo kutoka kwa wahisani." Kama hujui kwa nini Nyerere hakutaka kutegemea serikali misaada soma historia iliyoepelekea kuvunjika kwa uhusiano kati ya Tanzania na Ujerumani mwaka 1965 na kuvunjika kwa uhusiani kati ya Tanzania na Ujerumani mwaka 1964 baada ya Muungano.
Kwa maana hiyo Spika Mstaafu alisema sahihi kabisa.Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.