Natumia zaidi lakin inategemea na siku na vyakula vipo ndani kunasiku sifikii. Hiyo mfano nikiamua nisinunue vitu nje au mgahan nilliko ugali buku π tunazungumzia kula Tu lakinHujadadavua vizuri sababu unaweza kua kwenye mazingira ambayo vyakula vingi unavuna shambani au kama upo mjini unakuta unayo akiba ya vitu vingi ndani.
Hii hesabu imepigwa kwa ujumla wa mahitaji ya mtu mmoja kwa siku
Mimi sipo dar mkuu, sijawahi kufanya kazi ya kiwanda na wala sijui wanalipwa pesa ngapi labda wajuvi wa mambo watakusaidia.Wafanyakazi wa viwandani hapo dar wanalipwa shingapi kwa siku
Really? Interesting! Una familia? Unafanyaje fanyaje, ebu tupe experience yako kama hutojali.Mkuu inawezekana, mimi naishi kwa matumizi chini ya 7000 dar es laam hii hii
Kwa Sisi watumishi wa serikali especially wa halmashauri assurance ni kwamba 95% wanaishi kwenye dimbwi la umasikiniBenki ya Dunia (WB) imetangaza marekebisho ya kiwango cha kimataifa cha umaskini, ikipandisha kiwango cha chini kutoka Dola 2.15 za Marekani kwa siku (sawa na TSh 5,614) hadi Dola 3.00 (TSh 7,834) kwa siku.
View attachment 3396592
Kwa muktadha huo, mtu yeyote anayeishi kwa kutumia kiasi cha chini ya TSh 7,834 kwa siku sasa atahesabika kuwa anaishi katika umasikini uliokithiri, kulingana na viwango vipya vya kimataifa vilivyotangazwa Juni 2025.
Marekebisho haya yamefuatia kutolewa kwa takwimu mpya za uwezo wa kununua (PPP) Mei 2024, kupitia Mpango wa Ulinganifu wa Kimataifa (ICP), ambao hulinganisha bei za bidhaa na huduma kati ya nchi tofauti ili kuweka kipimo cha bei kinachowiana kwa nchi zote duniani.
Kwa mujibu wa Benki ya Dunia, mabadiliko haya yamelenga kuendana na mabadiliko ya viwango vya bei duniani na kutoa picha halisi zaidi ya kiwango cha chini cha maisha, hasa katika nchi za kipato cha chini.
PPP mpya zilizotolewa mwaka 2024 zilitokana na ukusanyaji wa data za mwaka 2021, bei za bidhaa za msingi kama chakula, mavazi na makazi zilionesha kuongezeka kwa kiasi kikubwa.
Viwango vipya vya PPP hutumiwa kubadili sarafu mbalimbali kuwa katika kipimo kimoja cha kulinganisha, hivyo kurahisisha tathmini ya hali ya umaskini duniani.
Tangu kutambulishwa kwa kipimo cha 'dola moja kwa siku' mwaka 1990, Benki ya Dunia imekuwa ikihuisha kiwango hiki mara kwa mara ili kuendana na mabadiliko ya hali ya kiuchumi na kijamii duniani.
Nimepata kuona pombe Kali za kupima kama shots za koniagi na kvant/valeur ila bia za kupima hapana mkuu, hii supu ya ngozi ndio makongoro?Inatosha na chenchi inabaki, umewahi kusikia supu ya ngozi au bia za kupima
Mostly 7000 per dayMimi sipo dar mkuu, sijawahi kufanya kazi ya kiwanda na wala sijui wanalipwa pesa ngapi labda wajuvi wa mambo watakusaidia.
ππππnna mambo mengi. Alafu age go yani kunavit nikivimaliza nitarelax yani nitafanya na kasherehe now acha tu niwe fukara mahesabu ni muhimu sanaHahaha hakika maisha ya watanzania wengi ni vitendawili, leo pangu pakavu kesho tumbo juu kwa kuvimbilwa huku wakinyoosha mikono "Mitano tena" alafu baada ya hapo yanabaki manung'uniko tuππ
Usijari laaziz Aaliyyah Mwenye enzi atajaalia na mengine yatabaki historia.
With meals inclusion au wanajitegemea? Nadhani pia watakuwa hawaishi mbali na viwanda husika kwa maana ya kusave pesa ya transport and I guess mostly of them are young girls and boys ambayo hawana majukumu pia.Mostly 7000 per day
Watu wazima na familia zaoWith meals inclusion au wanajitegemea? Nadhani pia watakuwa hawaishi mbali na viwanda husika and mostly are young girls and boys ambayo hawana majukumu pia.
Kwa kweli, watuelezeee. ππππAunt tuwaulize wanaume waanatoaga wapi ella ππππ
Kuna watu hata hiyo dollar 1 kwa siku hawaipati, na wanaishi sijui hao wao wako kundi gani.Hawa wa chini ya $3 wako wangapi Tanzania ? ChoiceVariable
Maskini wa mamaπ πHizi ni hujuma za mabeberu kwa mama
Tembea uone ni Tanzania hii haya mambo yapo, watu wanakula ngozi sio kongoro na bia zinapimwa kwa glass hiki sio kichekesho au kumdharau mtu ila ndio ukweli wa maisha.Nimepata kuona pombe Kali za kupima kama shots za koniagi na kvant/valeur ila bia za kupima hapana mkuu, hii supu ya ngozi ndio makongoro?
Kasoro Lumumba buku 7 wakiongozwa na johnthebaptist[/USER
[/QUOTE]
Inaonekana hisabati ya hili shirika haijakamilika... Ukadiriaji wao hawajajumlisha pombe na starehe zingine.Natumia zaidi lakin inategemea na siku na vyakula vipo ndani kunasiku sifikii. Hiyo mfano nikiamua nisinunue vitu nje au mgahan nilliko ugali buku π tunazungumzia kula Tu lakin
Yani acha tuKwa kweli, watuelezeee. ππππ