Benki ya Dunia yachelewesha tena kuipa Tanzania mkopo wa Dola 500M

Sahihi kabisa

 
Hoja yako ni nini?

Kwani nchi ikinyimwa mkopo ndio maisha hayataendelea?

Tulinyimwa MCC mwaka 2016 na maisha yakaendelea!

Cha kushangaza mtu ambaye hakuomba mkopo anakuwa na wasiwasi zaidi ya mtu ambaye aliomba mkopo! Pilipili usiyoila yakuwashiani!
 
Mada ni fupi sana na iko very transparent lakini umeshindwa kuielewa...
Hakika CCM ni kiwanda cha mabwege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama CCM ni kiwanda cha mabwege, kwa nini unapoteza muda wako kuwajadili mabwege?

Huoni kuwa wewe ni zaidi ya bwege kwa sababu unapoteza muda wako kuwajadili/kujadili mabwege!
Nawakumbusha mabwege kwamba waache tabia za kuomba omba mikopo kwa sababu World Bank ni NGO ya Beberu lililokamaa na nyie mabwege hamyapendi mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nilinyimwa mkopo Wa elimu ya juu na Hesbl malipo ni hapa hapa duniani.Natania Tu
 
Kwani uliambiwa tukikosa huo mkopo nchi inakufa? Tanzania itaendelea kuwepo. Sisi ni matajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona mnatapatapa...
 
Huna akili unaonekana lilevi fulan hvi
 
Ukubali ukweli, jina la Zitto Kabwe was not meant to be published as a contributor to the letter from civil society. Wazungu sio wajinga, they didn't want to be put in the middle of local political shenanigans, they decided to leak the damn name matokeo yake is tons of damage control and soul searching.
 
Vipi wale mnaowabaka na kuwapa ujauzito? Kosa lake ni lipi Hadi aadhibiwe kwa kitendo ambacho hakukiamua kwa ridhaa yake? Waza nje ya box acha ufuasi njaa!
 
GUSSIE,
You have very little understanding, you cant think or even comprehend this issue, just shut up pls
 
Hakimu Mfawidhi,
Hongera sana banki ya dunia, lakini bora CCM ikope $500m, si Tanzania ni taifa lina utajiri mkubwa sana, tunanunua ndege, njenga reli na mengine hii ni hela kidogo sana, ccm itakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…