monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!Unajua hii misimamo ya kisukuma sometime ni ya hovyo sana
Itatucost sana aisee
Ona sasa lidona county limenyimwa mapesa ambayo yangekuja kuleta mzunguko huku uraian
Hovyo kabisa magufuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimi unaponza kichwa....zamani mtoto alipokuwa anapata mimba akiwa shuleni tulikuwa hatauhangaiki naye..kwa kuwa haukuwa utamaduni wetu wa mtoto kubeba mimba kisa akaingia darasan basi mtoto huyo alikuwa anajiondoa mwenyewe shuleni bila hata kufukuzwa...na hata ingebainika akiwa shuleni basi alikuwa anaadhibiwa kimya kimya mambo yanaenda.....songombingo lilianzia pale amabapo Rais Magufuli aliutangazia ulimwengu kuwa yeye hasomeshi wajawazito..ulimi umeponza kichwa...leo wanaandamwa wapinzani kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Masanja,
Ndio huo utaratibu mbadala uwepo ila kwa gharama za mzazi sio za serikali! Hamna aliyekataza mtoto kupata elimu.
Jambo la kujiuliza, hii conservatism yetu imekuwa na faida au hasara? Kama ina faida tuendelee kuikumbatia. Lakini kama ina hasara kwetu kama Taifa au kwa jamii au kundi fulani, basi ni lazima tuipige vita, sawa na tunavyopiga vita ukeketaji. Nayo iwekwe kwenye mila potofu.Bams,
Kwa hiyo hizo sheria kali zimepunguza mimba za utotoni? Nope!
Nimesema suala la mimba za utotoni ni mjadala mpana sana katika jamii yetu ambayo mila na desturi bado ni sehemu ya maisha!
Ni ukweli kuwa wazazi wengi hawataki watoto wao wasome darasa moja na wasichana ambao wamejifungua.
Ni ukweli kuwa Tanzania bado ni conservative country wakati Banki ya Dunia ina sera za uliberali.
Si mlisema Tanzania ni Donner Country? mbona mnatembeza bakuli tena?Hapo sioni kama ni sawa, hizo pesa zingefanya mambo makubwa kwa nchi yetu, zitto na wenzako mlaaniwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hoja ya wajawazito imetumika tu kama cover, naona kuna mengi ndani!Kama serikali inahitaji sana huu mkopo basi ikubali masharti kuwa watoto wakipata mimba na kuzaa warudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi ambao hawajapata mimba na kuzaa kama ambavyo wanaharakati na baadhi ya wanasiasa kama Zitto wanavyotaka!
Kumbe wasichana hupata mimba kwa sababu "wanajisikia"?Yaani, msichana akijisikia kupata mimba anapata na kuzaa halafu baadaye anarudi tena kwenye darasa lake na kuendelea na masomo pamoja na wanafunzi wengine!