Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. Trilioni 1.2 za Miradi ya Maji na Afya

Saizi iko chini ya walamba asali huoni hata Mbowe anaimba kwaya mpaka Zito anamuonea wivu!
 
Nina Imani mpaka Samia anaondoka madarakani, huduma za afya zitakuwa zimefika Kila Kona, maji ndio usiseme, yatajaa Kila mahali kama mate mdomoni

..manunuzi ya ma-V8 ni 500 bil kila mwaka.

..halafu tunakwenda kukopa 689 bil kwa ajili ya afya.

..Na huenda fedha hizo hatutapatiwa zote ndani ya mwaka mmoja.
 
Hayo ni mafanikio makubwa kwa nchi yetu Mungu aendelee kumpa nguvu na ujasiri tutafika kwenye malengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…