Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Vipi nasikia familia yako imeisha kwa corona,! (si Magufuli alikataa usijifungie ndani.)Cr'ap!
Au mlikimbilia kwa marais wenye akili Kenyata, Kagame na Museven?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi nasikia familia yako imeisha kwa corona,! (si Magufuli alikataa usijifungie ndani.)Cr'ap!
Umenena,nawajua vizuri tu vijana wa CDM...nawafahamu kwelikweli...Huyo Chige ni mjinga tu anaefikiri ni msomi sana kumbe hata mimi darasa la saba namzidi!
Shida ya vijana hawa wanaojifanya kumkosoa Magufuli hawaelewi wamkosoa wapi na kwa vipi, ndio sababu wako tayari kumshabikia Membe kuliko Lisu sababu tu Membe hayuko pamoja na Magufuli!
Unarudi kujiuliza swali, akitoka Magufuli ndio ccm imetoka?
Kutokula wewe haimaanishi mimi sili. Marekani ni nchi namba moja kwa uchumi duniani unafikiri wote wanakula na kulala pazuri? Unafikiri kwa nini baadhi ya wamarekani wanalalamika na kuandamana kuwa ajira zimepungua? Fuatilia utajua nini maana ya uchumi wa nchi kukua. Usipojituma na kufanya kazi hata marekani huli mkuu .Bwebwe zote za nini sasa kama unasema uchumi unapaa halafu sina uhakika wa chakula?
Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'For the current 2021 fiscal year, low-income economies are defined as those with a GNI per capita, calculated using the World Bank Atlas method, of $1,035 or less in 2019; lower middle-income economies are those with a GNI per capita between $1,036 and $4,045;
C'RAP!Vipi nasikia familia yako imeisha kwa corona,! (si Magufuli alikataa usijifungie ndani.)
Au mlikimbilia kwa marais wenye akili Kenyata, Kagame na Museven?
Mabeberu yamewatangaza nanyi mmekubaliana nao. Kweli dume ni dume tu. Ila aliyetangaza kasema ni Lower Middle Income, lakini nyie mnasema tafsiri yake ni "Uchumi wa Kati" sijui hiyo tafsiri mnaipata kitabu gani?Wanatamani wampigie simu pompeo, ili Tanzania tutolewe
Mbona unatumia NGUVU Sana...kila mwenye macho ameona na tafsiri ni uchumi wa Kati chini...Mabeberu yamewatangaza nanyi mmekubaliana nao. Kweli dume ni dume tu. Ila aliyetangaza kasema ni Lower Middle Income, lakini nyie mnasema tafsiri yake ni "Uchumi wa Kati" sijui hiyo tafsiri mnaipata kitabu gani?
Yaani mimi sielewi kosa la Jpm ni nini mpaka matwakimu yote haya yanakuja? Wote hayo tumeyaona. Kosa ni kusema tujipongeze? Ameishusha hiyo GNI? Benki ya dunia wametoa takwimu sawa au si sawa? Ni kweli Tanzania imewekwa kwenye nchi yenye uchumi wa kati au si kweli? Au hizi takwimu zimepikwa?Narudia hoja ile ile inayowakera Misukule ya Jiwe!!! Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:-
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'
Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1495304
Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.
Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1495306
Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!
On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.
View attachment 1495307
Sio siri tena kwamba, kwa takwimu hizo hapo juu, inathibitisha kwamba Magu ameharibu uchumi, na hatimae kudhihirisha kwamba Mtaji Mkubwa wa Magufuli ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake na kuwa tayari kushangilia kila wanachosikia!!
Marekani umewahi kusikia wanalalamika kuhusu maji, barabara, matibabu, shule n.k? sisi tunajidanya wenyewe, kuhusu suala la kujituma hilo halikuhusu sababu sijawahi kukuomba chochote na sitakaa nikuombe mimi binafsi wala familia yangu. Ongea vitu vyenye pointi, huo uchumi wako wa kati unasadifu maisha ya wananchi?Kutokula wewe haimaanishi mimi sili. Marekani ni nchi namba moja kwa uchumi duniani unafikiri wote wanakula na kulala pazuri? Unafikiri kwa nini baadhi ya wamarekani wanalalamika na kuandamana kuwa ajira zimepungua? Fuatilia utajua nini maana ya uchumi wa nchi kukua. Usipojituma na kufanya kazi hata marekani huli mkuu .
Na kuteguka miguuShauri yao sisi tunapaa kiuchumi wao wanapaa na konyagi
Lower middle income inamaanisha nini mkuu? Mnaelewa hivi vitu kweli au ndio hesabu za Statistics mlizikwepa? Mnakumbuka hesabu za Range? Nenda kasome uliposoma na ukapata hiyo tafsiri yako utaelewa.Mabeberu yamewatangaza nanyi mmekubaliana nao. Kweli dume ni dume tu. Ila aliyetangaza kasema ni Lower Middle Income, lakini nyie mnasema tafsiri yake ni "Uchumi wa Kati" sijui hiyo tafsiri mnaipata kitabu gani?
Mkuu wewe ni kiboko.Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'
Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1494559
Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.
Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1494564
Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!
On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.
View attachment 1494576
Ama kweli mtaji mkubwa JPM ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake! And JPM anafanikiwa haya kwa sababu ile ile niliyowahi kuitaja siku za nyuma: Tanzania is full of people with average mind, and many more below the average!
Unaweza kuonesha ni wapi nimesema Magufuli ana makosa?! Watu for years now tumekua tukisema JPM anavuruga uchumi! Leo hii tumetumia data zile zile ambazo mnazikubali kuonesha ni kweli amevuruga, kwenu inakuwa nongwa!!Yaani mimi sielewi kosa la Jpm ni nini mpaka matwakimu yote haya yanakuja? Wote hayo tumeyaona. Kosa ni kusema tujipongeze? Ameishusha hiyo GNI? Benki ya dunia wametoa takwimu sawa au si sawa? Ni kweli Tanzania imewekwa kwenye nchi yenye uchumi wa kati au si kweli? Au hizi takwimu zimepikwa?
Jamaa ametoa statistical data in a big picture (tulipotoka na tunapoenda na speed tunayoitumia)kama hujaelewa utakua na shida kubwa sana ambayo ni nje ya huu mjadala.Yaani mimi sielewi kosa la Jpm ni nini mpaka matwakimu yote haya yanakuja? Wote hayo tumeyaona. Kosa ni kusema tujipongeze? Ameishusha hiyo GNI? Benki ya dunia wametoa takwimu sawa au si sawa? Ni kweli Tanzania imewekwa kwenye nchi yenye uchumi wa kati au si kweli? Au hizi takwimu zimepikwa?
Angalia sasa... ndo tatizo lenu hili! Sasa unachobisha nini kuhusu low middle income?! Au ndo wewe usiyeelewa nini maana low middle income na matokeo yake watu wakiongea kinyume na mnavyoamini mnaona wana chuki!Lower middle income inamaanisha nini mkuu? Mnaelewa hivi vitu kweli au ndio hesabu za Statistics mlizikwepa? Mnakumbuka hesabu za Range? Nenda kasome uliposoma na ukapata hiyo tafsiri yako utaelewa.
Kwa hiyo wewe msukule wa Mbowe, hizi data zako ndio zinafanya WB wawe wamedanganya ama?Narudia hoja ile ile inayowakera Misukule ya Jiwe!!! Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:-
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'
Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1495304
Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.
Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1495306
Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!
On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.
View attachment 1495307
Sio siri tena kwamba, kwa takwimu hizo hapo juu, inathibitisha kwamba Magu ameharibu uchumi, na hatimae kudhihirisha kwamba Mtaji Mkubwa wa Magufuli ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake na kuwa tayari kushangilia kila wanachosikia!!
CRA'P!!Kwa hiyo wewe msukule wa Mbowe, hizi data zako ndio zinafanya WB wawe wamedanganya ama?
Piga kelele kwa Magufuli OyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeEeeeeeeeeeeeeeeeeeeeLeo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati
Sisi ni matajiri
Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020
============
Yaani hawa jamaa ni tatizo kweli kweli! Wengine wanakomaa eti data za kupika wakati wanaona kabisa source ni WB! Labda ni kutoelewa kwamba unapofanya trend analysis lazima uangalie data za nyuma kwa sababu ndizo zita-determine your current and future performanceJamaa ametoa statistical data in a big picture (tulipotoka na tunapoenda na speed tunayoitumia)kama hujaelewa utakua na shida kubwa sana ambayo ni nje ya huu mjadala.