Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Get a job..... ama kalime....
Punguza ujinga.....
 
Get a job..... ama kalime....
Punguza ujinga.....
Bila shaka utakuwa ni miongoni mwa wale niliowahi kuwakaza... unafahamu hadi maisha yangu binafsi!! Je, nilikupa angalau pesa ya nauli lakini?! Au uliishia kupigwa mtalimbo tu, ukarudi kama ulivyokuja?!
 
Ukweli unauma 😂😂
 
Ukweli unauma 😂😂
Mwangilieni huyu... sasa ukweli gani hapo? Kwamba nina wivu na Jiwe, au?! Halafu acha kujichekesha chekesha kama mtoto wa kike anayetafuta attention mbele za wanaume!
 

Jana benki ya dunia iliitangaza Tanzania kuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye mapato ya kati, na kujiunga na Kenya na Sudan Kusini kuwa nchi nyingine za kundi hilo kati ya nchi za wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki. Hatua hii ya Tanzania imefikiwa miaka mitano kabla ya wakati, ambapo lengo la Tanzania ilikuwa ni kuingia kwenye kundi hilo mwaka 2025 kupitia mpango wake wa maendeleo wa miaka 2025 (TDV2025).

Kuna vigezo vingi vinatumika kuiweka nchi kwenye kundi hili, moja likiwa ni mapato yake. Tafsiri ya benki ya dunia kwa upande wa mapato ni kuwa nchi za kundi hili ni zile zenye mapato ya kati ya dola za kimarekani 996 na dola za kimarekani 12,195.

Tanzania kuingia kwenye kundi hili kunatokana na juhudi za miaka zaidi ya kumi ambapo ongezeko la pato la taifa limekuwa zaidi asilimia 6, na kudumisha hali ya amani na utulivu ambao imekuwa na mchango mkubwa kwenye maendeleo ya nchi.

Moja ya fursa ya nchi kuingia kwenye kundi hilo ni wawekezaji kuwa na mtazamo mzuri zaidi kuhusu nchi hiyo. Wananchi wa nchi moja kuwa na mapato ya kati maana yake ni kuwa uwezo wao wa kununua bidhaa na huduma unakuwa umeongezeka, na hali hiyo itawavutia zaidi wawekezaji.

Moja ya changamoto kwa nchi kuingia katika kundi hili, ni kwamba sera zake na mtindo wa maendeleo vitatakiwa kubadilika ili kuendana na mazingira mapya. Hii inatokana na imani kwamba nchi wahisani zinaamini kuwa kama nchi imefika hatua hiyo, basi inaweza kujiendeleza kwa hiyo misaada na sera za upendeleo kwa nchi hiyo vinapungua.

Lakini vile vile maendeleo kama hayao yanafanya wananchiwawe na mahitaji zaidi kutoka kwa serikali, kama vile huduma bora zaidi na mazingira bora zaidi ya maisha.
 
U-gay nao ni ufahari?
Lissu ameharibu vijana wa chadema..

Dont tell me kukazana nayo ni sehemu muhimu ya vijana wa ufipa....

Nakemea pepo lako la u gay kwa jina la Yesu.... na nakukemea wewe uliyeuwaza na kuutaja..kwa jina la Yesu..

Badilika kijana sio kitu kizuri hata kukitamka

Bila shaka utakuwa ni miongoni mwa wale niliowahi kuwakaza... unafahamu hadi maisha yangu binafsi!! Je, nilikupa angalau pesa ya nauli lakini?! Au uliishia kupigwa mtalimbo tu, ukarudi kama ulivyokuja?!
 
-u gay nao ni ufahari?
Lissu ameharibu vijana wa chadema..

Dont tell me kukazana nayo ni sehemu muhimu ya vijana wa ufipa....

Nakemea pepo lako la u gay kwa jina la Yesu.... na nakukemea wewe uliyeuwaza na kuutaja..kwa jina la Yesu..

Badilika kijana sio kitu kizuri hata kukitamka
 
Narudia... ACHA SHOBO!!!! We jamaa wa wapi wewe?! How many times do you need to be told the same thing?!

Kama mtaalamu wa kuongea karibu PM, ipo wazi!!
 
Kuligana na maelezo yako marefu nini sasa kinatufanya tuingie kwenye uchumi wa kati na wakati kiuhalisia siyo kweli? huduma za msingi zote hapo kijijini kwenu mnapata? tuongee kitaalamu na siyo kishabiki
Kwa hiyo hivi ulivyoandika ndio kitaalamu au ndio unaendeleza yaleyale.

Kiuhalisia kitakwimu tuko kwenye uchumi wa kati kwa kuwa GNI haijawahi kupimwa kwa kuangalia huduma za msingi kwa wananchi bali inapimwa kwa wastani mtu mwananchi wa nchi husika anaishi kwa kiasi gani cha pesa kwa siku.

Vipimo vya kupima uchumi kukua viko vingi lakini kinachopendelewa kutumiwa kimatifa ni hicho cha kuangalia wastani wa pato la mwananchi kwa siku. Na hii ni kanuni rahisi tu inayotumika kimataifa kuangalia Pato la taifa unagawa kwa idadi ya wananchi(population ).

Labda wewe ndio uweke ni kanuni gani ingefaa tofauti na hii ili ihusishe wananchi kupata huduma za msingi hapo ndio ntaelewa huo utaalamu wako ni upi vinginevyo unaendeleza hoyahoya kwa vitu rahisi tu. Na kiuhalisia mimi napata huduma za msingi kama kawaida sijapungukiwa labda huko kijijini kwenu ndio endelea kupigania mkuu
 
Mwangilieni huyu... sasa ukweli gani hapo? Kwamba nina wivu na Jiwe, au?! Halafu acha kujichekesha chekesha kama mtoto wa kike anayetafuta attention mbele za wanaume!
I guess that is how your sister does, we sema jamaa kakwambia ukweli so unatafuta escaping lane, in fact tumekujua hauna lolote...keep doing your shit bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…