Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Nchi za Ulaya tofauti... wengi wak wanatoza kodi kubwa up to 50% kusaidia kutoa huduma kwa jamii...

USA tofauti kidogo....
Usinidanganye mkuu mimi siyo kilaza kama unavyoamini, kama sisi tunalingana huduma za jamii na Marekani au nchi za Ulaya kwanini tunaenda kuomba kwao misaada?
 
Ukiambiwa kitu tofauti na unavyoamini unaporomosha matusi..

Minyumbu akili zao ziko kwenye makalio..

Najua ninachokiongea.... bisha ukijua unachokiongea sio guessing na matusi[emoji3][emoji3]
Tuache ushabiki wa kijinga sisi bado sana huduma zetu ni duni, kama Marekani na Ulaya tunalingana nao tumewahi kuwapa misaada kama wao wanavyotoa, nashauri udanganye wajinga wenzako huko mkuu.
 
Nchi za Ulaya tofauti... wengi wak wanatoza kodi kubwa up to 50% kusaidia kutoa huduma kwa jamii...

USA tofauti kidogo....
Kule hata Rais wa nchi analipa kodi, anakaguliwa na anashitakiwa akikosea ndiyo maana unaona wananchi wana moyo wa kulipa kodi, wana CCM wenzako wanachangia chama badala ya kulipa kodi, bosi wako hataki mshahara wake ukato kodi huku anajiita mzalendo wala fungu la Ikulu mkaguzi mkuu hagusi. Shame on you
 
Chizi wewe.... heri tembe naishi bure kuliko vi apartment vya mbao wanalipia dola buku kwa mwezi....

Jua unachokiongea.... waulize watz walio huko (samahani natoa siri) wakwambie wanavyotabika....[emoji3][emoji3]
Wewe mpuuzi USA na Ulaya zimejaa nyumba za tembe kama nyumbani kwenu Iramba?
 
Chizi wewe.... heri tembe naishi bure kuliko vi apartment vya mbao wanalipia buku kwa mwezi....

Jua unachokiongea.... waulize watz walio huko (samahani natoa siri) wakwambie wanavyotabika....[emoji3][emoji3]
Hapo Iramba kwenu ndiyo wanakuona kuwa umefika Marekani? shame on you kwamba mimi sijui kinachoendelea wewe ndiyo unifundishe na simu yenyewe unatumia ya shemeji yako kaacha chaji
 
Chizi wewe.... heri tembe naishi bure kuliko vi apartment vya mbao wanalipia dola buku kwa mwezi....

Jua unachokiongea.... waulize watz walio huko (samahani natoa siri) wakwambie wanavyotabika....[emoji3][emoji3]
unafikiria ni kwa nini wanaafford kulipia na Tanzania inashindikana?
 
Sisomi pumba zako... you are da schupidiest ever

Jf itaanza kulipa wanaoandika matakataka marefu kama wewe... good job..

Itaokoa ukosefu wako wa ajira[emoji3]

Www.jinga.com
Baada ya sindano kukuingia ndo unadai husomi... very stupid! Btw, si umesema huna cha kuongea? Hivi una ukweli kweli wewe?! Sasa mbona unaendelea kuni-quote?!
 
Mwenye tembe ni fully owned halipi morgage...

USA unaalipia mortage 30 years na ukiumwa ama kukosa kazi miezi michache wanachukua....

Bado hata nunua cash ... wanakutegea kwenye kukosa kulipa kodi waichukue...hujakatia majani wanabeba...

I love my tembe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe mpuuzi USA na Ulaya zimejaa nyumba za tembe kama nyumbani kwenu Iramba?
 
Honestly watz wanapenda kodi?
Can you accept 50% kodi ili isaidie wasio na social service???

Oo wana chichiemu nyambafff[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kule hata Rais wa nchi analipa kodi, anakaguliwa na anashitakiwa akikosea ndiyo maana unaona wananchi wana moyo wa kulipa kodi, wana CCM wenzako wanachangia chama badala ya kulipa kodi, bosi wako hataki mshahara wake ukato kodi huku anajiita mzalendo wala fungu la Ikulu mkaguzi mkuu hagusi. Shame on you
 
Kuandika sana sio busara... ni ukosefu wa ajira[emoji3][emoji3]

Minyumbu mijinga sana
Utaongea sana na mitusi juu lakini hiyo haitaondoa ukweli kwamba, hata baada ya kutamba kwamba una digrii as if kuna mtu kakuuliza, lakini ndo kwanza umezidi kudhihirisha ujinga wako pale ulipojaribu kuongea kama mtu mwenye digrii!!
 
Povu lanini? Sijafika marekani mkuu...
Kweli simu ya shemeji yangu... hilo ni tusi?

Nyumbu haoooo
Hapo Iramba kwenu ndiyo wanakuona kuwa umefika Marekani? shame on you kwamba mimi sijui kinachoendelea wewe ndiyo unifundishe na simu yenyewe unatumia ya shemeji yako kaacha chaji
 
Tuache ushabiki wa kijinga sisi bado sana huduma zetu ni duni, kama Marekani na Ulaya tunalingana nao tumewahi kuwapa misaada kama wao wanavyotoa, nashauri udanganye wajinga wenzako huko mkuu.
Tusitegemee pia misaada na mikopo yenye masharti ya kutufanya kuwa ombaomba milele.
Tufike mahali tujiulize siku watoaji wakiamua kutunyima hiyo misaada na mikopo tutafanyaje? Tukumbuke hawa ni wafanya biashara kwa kila wanachofanya wanaangalia faida yao kwanza
 
Jf wataanza kukulipa...wanatoa ajira za foolish analysts
Poromosha mapumba...
Utaongea sana na mitusi juu lakini hiyo haitaondoa ukweli kwamba, hata baada ya kutamba kwamba una digrii as if kuna mtu kakuuliza, lakini ndo kwanza umezidi kudhihirisha ujinga wako pale ulipojaribu kuongea kama mtu mwenye digrii!!
 
Bravo mama...
Tusitegemee pia misaada na mikopo yenye masharti ya kutufanya kuwa ombaomba milele.
Tufike mahali tujiulize siku watoaji wakiamua kutunyima hiyo misaada na mikopo tutafanyaje? Tukumbuke hawa ni wafanya biashara kwa kila wanachofanya wanaangalia faida yao kwanza
 
Ukosefu wa ajira huo....
Unatumia nusu ya maisha yako jamii forum

Ndio maana mnabisha kila kitu....

Nenda shamba boy.... [emoji3][emoji3]
Baada ya sindano kukuingia ndo unadai husomi... very stupid! Btw, si umesema huna cha kuongea? Hivi una ukweli kweli wewe?! Sasa mbona unaendelea kuni-quote?!
 
Jf wataanza kukulipa...wanatoa ajira za foolish analysts
Poromosha mapumba...
We kima si ulishasema huna cha kuongea, sasa mbona unazidi ku-quote posts zangu!! To be honest, I feel so irritating ku-argue na wewe, sema ndo vile tu!

All in all, utakapokuwa unapumuliwa kisogoni na huyo anayekufanya uanze kutukana watu kila anaposemwa basi usisahau kumwambia kwamba tangia jana umewakomesha kweli kweli wanaomsema!
 
Back
Top Bottom