Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Nchi za Ulaya tofauti... wengi wak wanatoza kodi kubwa up to 50% kusaidia kutoa huduma kwa jamii...
USA tofauti kidogo....
USA tofauti kidogo....
Usinidanganye mkuu mimi siyo kilaza kama unavyoamini, kama sisi tunalingana huduma za jamii na Marekani au nchi za Ulaya kwanini tunaenda kuomba kwao misaada?