ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Wewe ndio huna akili,watu wanapewa jukumu la kuwaelimisha Wananchi wao wanafanya Yao.Kuwa na akili basi, kuna mtu au kampuni yoyote inaweza kuvamia eneo na kunyanyasa wananchi bila kuruhusiwa na watawala ambao ni CCM?
Mnavyouza bandari na kuhamisha watu ngoroñgoro ni nani anayefànya hayo yote kama siyo CCM?
Kumbe serikali ya ccm haiutambui huo mradi wala haitambui uhamisho wa raia hapo eti? Kwamba huko hakuna usalama wa taifa hata serikali isijue knachoendelea au usalama wapo kwaajili ya kunusa mission za chadema tu ili kuilinda ccm na majambaz majizi ya taifa hili yaliyoko ccm na serikaliniHakuna Serikali iliyotuma Tanapa kuwatendea ndivyo sivyo watu,
Mradi ni WA Serikali uwe unaelewa.Hivi mara ngapi Polisi au mambo wanatumia kuzuia uhalifu au maandamano lakini akitumia vibaya silaha Huwa wanakamatwa na kupfunguliwa mashataka? The same na huko.Kumbe serikali ya ccm haiutambui huo mradi wala haitambui uhamisho wa raia hapo eti? Kwamba huko hakuna usalama wa taifa hata serikali isijue knachoendelea au usalama wapo kwaajili ya kunusa mission za chadema tu ili kuilinda ccm na majambaz majizi ya taifa hili yaliyoko ccm na serikalini
REGROW siyo Mkopo wa kiendeleA Hifadhi. Ni mradi wa uhfadhi kuankikiza utalii kusini mwa Tanzania. Huo mradi ulikuwa na miradi midogo midogo kuanzia Selous, Mikumi, Udzungwa, uhifadhi wa Usangu catchment kupitia Rufiji Water Basin, Irrigation and lastly uboreshaji wa miundombinu kule Ruaha.Yaani tukakope sisi Kuendeleza hifadhi harafu WB apate hasara tena?
Madai yaliyokiwa yanadaiwa ni ya wananchi ni magumashi. Hamna mwananchi aliyeonewa.Fimbo kivipi? Madai ya Wananchi ni sawa au siyo? Nini ilikuwa mapendekezo ya hiyo kamati?
By the way ukifungua hiyo link nimeona kwamba Kuna maelezo.kwamna Serikali ilifinga huo mradi mwaka Jana mwisho which means ni baada ya kushindwana na WB.
Ok. Mwigulu kaingia baada ya mtoa mada kuwalaumu TLS na Haki Za Binadamu Kwamba hawajafanya jambo kuwasaidia hao wananchi, bali mimi nimeona wa kulaumu ni Waziri wa fedha ambae alipewa muda wa kurectify situation.Kurekebisha nini na Mwigulu nakujaje hapo. WB siyo Mungu wa Tanzania.
Kwa ufupi waliyopata hasara kubwa ni WB, siyo Tanzania maana hizo Hela zilikuwa Mkopo wa riba. Siyo msaada.
So masta we una akili kuzidi wooote, yaani WB, serikali, humu, na wananchi wote au sio masta...Madai yaliyokiwa yanadaiwa ni ya wananchi ni magumashi. Hamna mwananchi aliyeonewa.
Kwahiyo unafurahishwa mauaji wanayofanyiwa wanachadema.Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko WB Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua eneo la hifadhi ya Ruaha ambapo zaidi ya wana Vijiji 21,000 wangepoteza Makazi Yao pamoja na Mali zingine.
World Bank cancels $150m tourism project in Tanzania after abuse claims World Bank cancels $150m tourism project in Tanzania after abuse claims
Swali.
Yaani Kituo Cha Haki za Binadamu Tanzania na TLS hawaoni haya Ili wawasaidie Wananchi Hadi Wazungu ndio waje? Au hizo taasisi wenyewe kwao Wanasiasa wa Chadema ndio wanastahili Huduma zao pekee?
Mradi wa REGROW ulikuwa ni ufadhili wa Benki ya Dunia wa $150mln( Takribani Bilioni 350) uliolenga kukuza Utalii hifadhi za Kusini.
Soma zaidi hapa Kamati ya Bunge Yaridhishwa na Mradi wa REGROW Hifadhi ya Taifa Ruaha
My Take
Kama taarifa hii ni kweli basi naishauri Serikali ,kama inataka kuongeza Ukubwa wa eneo la hifadhi ya Ruaha iwahamishe Wananchi Kwa Staha kama wanavyofanya huko Ngorongoro badala ya kuwafurusha.
Ngorongoro wanahamishwa kaya pamoja na mifugo Yao ,wanalipwa fidia na wanapewa maeneo,Kwa nini wasifanye hivi Ruaha?
Aidha Serikali iwachukulie hatua Askari wa TANAPA ambao walishiriki kuwatendea ndivyo sivyo Wanavijiji Hadi kutufikisha hapa Kwa kukosa weledi.
Pia soma Benki ya Dunia Yatoa "Ultimatum" ya Siku 30 Kwa Tanzania Kumaliza Mgogoro wa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwenye Mradi wa Regrow
Hamna kitu kama hicho. Hako ka NGO kalikofungua malalamiko hayo kulikuwa na Mpango mbaya nyuma yake. Hamna mwananchi aliyeonewa kwenye maboresho ya mipaka ya Ruaha Kwa maslahi ya nchi nzima.Sawa, lakini kuna hoja hapa ya watu kutendewa ndivyo sivyo. Hili unalisemaje? Je madai haya ya ChoiceVariable yana ukweli?
Sawa WB watake hayo Kwa Ajili gani ikiwa yanaharibu hifadhi?REGROW siyo Mkopo wa kiendeleA Hifadhi. Ni mradi wa uhfadhi kuankikiza utalii kusini mwa Tanzania. Huo mradi ulikuwa na miradi midogo midogo kuanzia Selous, Mikumi, Udzungwa, uhifadhi wa Usangu catchment kupitia Rufiji Water Basin, Irrigation and lastly uboreshaji wa miundombinu kule Ruaha.
WB walitaka watumie Mkopo huo kama njia ya kuibana Serikali Ili tuwaachie Tena Wafugaji na wakulima waliotolewa ndani ardhi owevu ya IHEFU warudishwe kule Ili waendelea na uharibifu. Kumbuka uvamizi wa IHEFU ndo uliosababisha kukauka Kwa Mto Ruaha na kusababisha hadi Viboko kufa na Twiga na wanyama wengine kupata madhara makubwa pamoja na kukauka Kwa bwawa ya Mtera na Kitafu. WB ni mabeberu na nia ya kwenye huo migogoro haikuwa njema.
Hapana ila approach ya ku deal na hao watu.Hamna kitu kama hicho. Hako ka NGO kalikofungua malalamiko hayo kulikuwa na Mpango mbaya nyuma yake. Hamna mwananchi aliyeonewa kwenye maboresho ya mipaka ya Ruaha Kwa maslahi ya nchi nzima.
Au wengine mlikuwa Tayari Ruaha National Park ife na nchi iwel kwenye crisis ya umeme? Kumbuka IHEFU ni chanzo Cha mto Ruaha ambao unategemewa na Mabwawa ya MTERA, KIDATU na Sasa Nyerere Hydro Power.
Serikali ipi? Serikali ndo iliyofanya maboresho na mipaka ya Ruaha back to 2016 na Serikali ndo iliyobuni mradi wa REGROW na Serikali ndo iliyoomba Mkopo Ili kutekeleza mradi huo, mtoa Mkopo WB kaleta longolongo Kwa maslahi wanayojua wao, SERIKALI imeamua kuachana huo Mkopo.So masta we una akili kuzidi wooote, yaani WB, serikali, humu, na wananchi wote au sio masta...
Ni kama alivyo watuma wale wa ngorongoroKwa nini wasishinde? Walifingua kesi wakashindwa?
Hao ni wapuuzi tuu kazi Yao ni kutetea Machadema hawana maana kabisa kulipwa mishahara na Serikali.
CCM na Rais ndio aliwatuma Game Rangers wa TANAPA wawafanyie mambo yasiyofaa Wananchi?
Ila wewe jamaa mpumbavu sana...Kosa limefanywa na Serikali kwa nini usiwaambie wao?...Chadema na TLS wanaingiaje hapa?...unajua unaweza ukawa na hoja nzuri tu ila upuuzi wako ukakufanya uonekane Lofa tu!Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua eneo la hifadhi ya Ruaha ambapo zaidi ya wana Vijiji 21,000 wangepoteza Makazi Yao pamoja na Mali nyingine.
World Bank cancels $150m tourism project in Tanzania after abuse claims World Bank cancels $150m tourism project in Tanzania after abuse claims
Swali:
Yaani Kituo Cha Haki za Binadamu Tanzania na TLS hawaoni haya Ili wawasaidie Wananchi Hadi Wazungu ndio waje? Au hizo taasisi wenyewe kwao Wanasiasa wa CHADEMA ndio wanastahili Huduma zao pekee?
Mradi wa REGROW ulikuwa ni ufadhili wa Benki ya Dunia wa $150mln( Takribani Bilioni 350) uliolenga kukuza Utalii hifadhi za Kusini.
Soma zaidi hapa Kamati ya Bunge Yaridhishwa na Mradi wa REGROW Hifadhi ya Taifa Ruaha
My Take:
Kama taarifa hii ni kweli basi naishauri Serikali kama inataka kuongeza Ukubwa wa eneo la hifadhi ya Ruaha iwahamishe Wananchi Kwa Staha kama wanavyofanya huko Ngorongoro badala ya kuwafurusha.
Ngorongoro wanahamishwa kaya pamoja na mifugo Yao ,wanalipwa fidia na wanapewa maeneo,Kwa nini wasifanye hivi Ruaha?
Aidha Serikali iwachukulie hatua Askari wa TANAPA ambao walishiriki kuwatendea ndivyo sivyo Wanavijiji Hadi kutufikisha hapa Kwa kukosa weledi.
Pia soma Benki ya Dunia Yatoa "Ultimatum" ya Siku 30 Kwa Tanzania Kumaliza Mgogoro wa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwenye Mradi wa Regrow
Hamna kitu kama hicho. Jambo kama hulijui vizuri ni Bora ukawa msomaji. Kama kuzuia kununua mashati hayo na kama yangehitajika hamna kitu wangezuia maana katika USD Bil 150 walishatoa USD 125 Bil na zimetumika kujenga airstrip Kwa ajili ya ndege za Kitalii kule Nyerere National Park na Mikumi. Zimejenga njia za utalii za kupanda Kwa kwamba za umeme kule Udzungwa, zimejenga barabara za ndani ya Hifadhi ya Ruaha, zimejenga miundombinu za Umwagiliaji katika baadhi ya Skimu za Umwagiliaji kule Ruaha na zimeanzisha ujenzi wa kituo Cha Utafiti wa Wanyama na kituo Cha Utalii kusini pale Kihesa, Iringa.WB wameshtuka zingeingia kununua magari na mashati ya kijani.
Jamaa siyo mpumbavu tu, ni kama Malaya wa Sinza. Hapa jukwaani kila siku anamsifia SAMIA.Ila wewe jamaa mpumbavu sana...Kosa limefanywa na Serikali kwa nini usiwaambie wao?...Chadema na TLS wanaingiaje hapa?...unajua unaweza ukawa na hoja nzuri tu ila upuuzi wako ukakufanya uonekane Lofa tu!
Masta, P.O.C sijasema huna akili bali nimeuliza una akili kuliko wote??Serikali ipi? Serikali ndo iliyofanya maboresho na mipaka ya Ruaha back to 2016 na Serikali ndo iliyobuni mradi wa REGROW na Serikali ndo iliyoomba Mkopo Ili kutekeleza mradi huo, mtoa Mkopo WB kaleta longolongo Kwa maslahi wanayojua wao, SERIKALI imeamua kuachana huo Mkopo.
Hapo Serikali ipi unayosema kwamba Mimi Sina akili. Mimi ndo ninaujua huo mradi na nilikuwa sehemu ya wasimamizi wa huo mradi, najua in and out.
Siyo kila wanachosema Hawa tunaowaita Wabia wa Maendeleo kina maslahi Kwa nchi
Wewe ndio mpumbavu,kwani nimewaambia kina nani kama sio Serikali?Ila wewe jamaa mpumbavu sana...Kosa limefanywa na Serikali kwa nini usiwaambie wao?...Chadema na TLS wanaingiaje hapa?...unajua unaweza ukawa na hoja nzuri tu ila upuuzi wako ukakufanya uonekane Lofa tu!
Ngorongoro umesikia watu wanapigwa au kuzulumiwa mifugo?Ni kama alivyo watuma wale wa ngorongoro