Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masta unajibu vizuri sana. Kubali challenge tu na endelea kujibu in positive. Kwa majibu yako mazuri hukustahili kuandika comment hii dhidi ya ChoiceVariable ... Ni kweli huyu hua ni pro Samia lakini sio kila kitu awe positive kuna vingine lazima atoe maoni yake in negative way inawezekana inamuathiri straight yeye.Jamaa siyo mpumbavu tu, ni kama Malaya wa Sinza. Hapa jukwaani kila siku anamsifia SAMIA.
Hilo swala la hifadhi ni tofauti na DP World.TLS kazi Yao ni nini?
Mungu wabariki WazunguKwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua eneo la hifadhi ya Ruaha ambapo zaidi ya wana Vijiji 21,000 wangepoteza Makazi Yao pamoja na Mali nyingine.
World Bank cancels $150m tourism project in Tanzania after abuse claims World Bank cancels $150m tourism project in Tanzania after abuse claims
Swali:
Yaani Kituo Cha Haki za Binadamu Tanzania na TLS hawaoni haya Ili wawasaidie Wananchi Hadi Wazungu ndio waje? Au hizo taasisi wenyewe kwao Wanasiasa wa CHADEMA ndio wanastahili Huduma zao pekee?
Mradi wa REGROW ulikuwa ni ufadhili wa Benki ya Dunia wa $150mln( Takribani Bilioni 350) uliolenga kukuza Utalii hifadhi za Kusini.
Soma zaidi hapa Kamati ya Bunge Yaridhishwa na Mradi wa REGROW Hifadhi ya Taifa Ruaha
My Take:
Kama taarifa hii ni kweli basi naishauri Serikali kama inataka kuongeza Ukubwa wa eneo la hifadhi ya Ruaha iwahamishe Wananchi Kwa Staha kama wanavyofanya huko Ngorongoro badala ya kuwafurusha.
Ngorongoro wanahamishwa kaya pamoja na mifugo Yao ,wanalipwa fidia na wanapewa maeneo,Kwa nini wasifanye hivi Ruaha?
Aidha Serikali iwachukulie hatua Askari wa TANAPA ambao walishiriki kuwatendea ndivyo sivyo Wanavijiji Hadi kutufikisha hapa Kwa kukosa weledi.
Pia soma Benki ya Dunia Yatoa "Ultimatum" ya Siku 30 Kwa Tanzania Kumaliza Mgogoro wa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwenye Mradi wa Regrow
We unamjua Samia vizuri weweKwa nini wasishinde? Walifingua kesi wakashindwa?
Hao ni wapuuzi tuu kazi Yao ni kutetea Machadema hawana maana kabisa kulipwa mishahara na Serikali.
CCM na Rais ndio aliwatuma Game Rangers wa TANAPA wawafanyie mambo yasiyofaa Wananchi?
Sio kusingizia, thats truth. Askari wa park hawatekelez orders bila amri kutoka kwa superiors wao.Orders kutoka ngazi za Juu ni Kisingizio,Kwa nini wasifanye kazi Kwa weledi?
Tumejiegemeza sana kwenye misaada ndio maana. Hifadhi zibaki hifadhi lakin serikal ipunguze kuomba ombaWakati mwingine tufanye yetu bila kutegemea kutoka kwa watu.
Hifadhi ziendelee kuwa hifadhi, wavamizi waondolewe
Sawa mkuuHamna kitu kama hicho. Jambo kama hulijui vizuri ni Bora ukawa msomaji. Kama kuzuia kununua mashati hayo na kama yangehitajika hamna kitu wangezuia maana katika USD Bil 150 walishatoa USD 125 Bil na zimetumika kujenga airstrip Kwa ajili ya ndege za Kitalii kule Nyerere National Park na Mikumi. Zimejenga njia za utalii za kupanda Kwa kwamba za umeme kule Udzungwa, zimejenga barabara za ndani ya Hifadhi ya Ruaha, zimejenga miundombinu za Umwagiliaji katika baadhi ya Skimu za Umwagiliaji kule Ruaha na zimeanzisha ujenzi wa kituo Cha Utafiti wa Wanyama na kituo Cha Utalii kusini pale Kihesa, Iringa.
Toka shetani mkubwaMradi ni WA Serikali uwe unaelewa.Hivi mara ngapi Polisi au mambo wanatumia kuzuia uhalifu au maandamano lakini akitumia vibaya silaha Huwa wanakamatwa na kupfunguliwa mashataka? The same na huko.