Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania

1. Tanzania ina mfumuko wa bei mdogo kuliko nchi zote Afrika Mashariki

2. Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi kuliko wastani wa Afrika Kusini mwa Sahara

3. Deni la Taifa ni himilivu

IMG-20230214-WA0000(1).jpg
 
Benk ya dunia si ndo hao wanaotukopesha kila leo?

Ni lini wamewahi kuyaishi maisha tuliyonayo leo?

Waache uchongankshi na ukidomkdomo
 
Hao benki ya gunia wanatusemea wao kama nani??

Sisi ndio tunatakiwa kusema yanayogusa kama raia tunaokandamizwa na mafisadi papa.
 
Na waliposema nchi yetu imepanda kiuchumi awamu ya tano je maisha ya wananchi yalipanda kimaisha?
 
Leo mmeona hasara za takwimu za kijinga wakati maisha yenu hayaendani na hizo takwimu.
 
Na waliposema nchi yetu imepanda kiuchumi awamu ya tano je maisha ya wananchi yalipanda kimaisha?
Utalinganisha na sasa wananchi wamekatisha Milo yao?

Maisha ni kuwa na uhakika wa kula!

Usiwe mjinga basi mkuu
 
Mlisema tumefika Uchumi wa Kati huku Watanzania wengi wakiendelea kulala njaa na kushindwa kupeleka watoto shuleni hizi siasa za sifa hazitusaidii sisi bali zinamsaidia mtawala na wapambe wake.
 
Uliposhuka kupitia walioko sasa, ndiyo maana maisha yamekuwa ni kama mtu anapanda mlima Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom