Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Na waliposema nchi yetu imepanda kiuchumi awamu ya tano je maisha ya wananchi yalipanda kimaisha?Benk ya dunia si ndo hao wanaotukopesha kila leo?
Ni lini wamewahi kuyaishi maisha tuliyonayo leo?
Waache uchongankshi na ukidomkdomo
Leo mmeona hasara za takwimu za kijinga wakati maisha yenu hayaendani na hizo takwimu.Hao benki ya gunia wanatusemea wao kama nani??
Sisi ndio tunatakiwa kusema yanayogusa kama raia tunaokandamizwa na mafisadi papa.
Utalinganisha na sasa wananchi wamekatisha Milo yao?Na waliposema nchi yetu imepanda kiuchumi awamu ya tano je maisha ya wananchi yalipanda kimaisha?
Mlisema tumefika Uchumi wa Kati huku Watanzania wengi wakiendelea kulala njaa na kushindwa kupeleka watoto shuleni hizi siasa za sifa hazitusaidii sisi bali zinamsaidia mtawala na wapambe wake.Utalinganisha na sasa wananchi wamekatisha Milo yao?
Maisha ni kuwa na uhakika wa kula!
Usiwe mjinga basi mkuu
Uliposhuka kupitia walioko sasa, ndiyo maana maisha yamekuwa ni kama mtu anapanda mlima KilimanjaroMlisema tumefika Uchumi wa Kati huku Watanzania wengi wakiendelea kulala njaa na kushindwa kupeleka watoto shuleni hizi siasa za sifa hazitusaidii sisi bali zinamsaidia mtawala na wapambe wake.