Benki ya Equity Mwenge ni kero kubwa kwa wateja

Benki ya Equity Mwenge ni kero kubwa kwa wateja

senzighe

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
2,108
Reaction score
1,666
Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili.
 
Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili.
Kwa nini pesa zako zikutese umesimama tu kwenye foleni kanakwamba hakuna benki zingine.
 
Kwa akili zenu Chadema, hata kwenye hili mtadai katiba mpya ndio suluhu
 
Back
Top Bottom