S senzighe JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 2,108 Reaction score 1,666 Mar 5, 2022 #1 Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili.
Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili.
libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,465 Reaction score 3,615 Mar 5, 2022 #2 senzighe said: Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili. Click to expand... Kwa nini pesa zako zikutese umesimama tu kwenye foleni kanakwamba hakuna benki zingine.
senzighe said: Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili. Click to expand... Kwa nini pesa zako zikutese umesimama tu kwenye foleni kanakwamba hakuna benki zingine.
P Papaabandeco New Member Joined Nov 15, 2021 Posts 4 Reaction score 0 Mar 5, 2022 #3 senzighe said: Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili. Click to expand... Siyo huko tu hata MWANZA ni KERO SN
senzighe said: Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili. Click to expand... Siyo huko tu hata MWANZA ni KERO SN
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Mar 5, 2022 #4 Kwa akili zenu Chadema, hata kwenye hili mtadai katiba mpya ndio suluhu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 5, 2022 #5 Poleni sana...