Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)

Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)

Siungi mkono serikali zetu kukopa kwa wachina lakini China si masikini kama usemavyo mkuu.
China ni maskini ukizingatia baadhi ya index za uchumi bado ni under developed nation,mind you wako 2b kwa sasa hivyo si ajabu GDP wakashabihiana na sisi! Chunguza utajua
 
Acha nikae kimya miye, lakini uhakika wa kuuzwa Mimi au watoto wangu kwa Wachina kufidia deni la Taifa upo, ila sijui ni lini.
 
Hata sisi hii mikopo itatuumbua tu

Hii miradi mbali na kuongeza deni la Taifa,ukweli ni kwamba hailipi na zaidi ni mzigo tu kwa hizi serikali zetu.

Hii miradi ingeachiwa private sector au serikali ingekuwa na hisa kidogo lakini sio kumiliki hii miradi kwa asilimia 100.

Niwaambie tu,SGR na ATCL ni mizigo tutakayoibeba kwa kodi zetu.

Tumekuwa mateka wa fahari ya macho na kupuuza uhalisia-mtu mmoja kwa kutumia cheo na madaraka yake kawafanya watu mazuzu wasione mbele.

Watu wanashangilia na kusifu wakati mikataba inafanywa siri na wala hawajiulizi!!
Sisi tunajenga wenyewe kwa hela zetu 😉
 
Utakua unasahau au unajifanya kusahau, unakumbuka SFO vs ladar ya akina Change? Waafrika wengi hatutumzagi rejea including you!
Kajisomee kitabu cha Walter Rodney "How Europe Underdeveloped Africa" uelimike. Tatizo nyie vijana wa leo mnawahusudu sana wazungu mpaka mnasahau hao na wachina hawana tofauti. Eti "It will be next to impossible kwa wazungu kutudhulumu" ha ha ha.
 
Kwa hiyo wazungu ndo rafiki zenu? Kisa wanatoa mikopo kwa masharti ya ushoga! Mbona wazungu wamechukua hadi utu wenu ila hamsemi,nini bandari?
Kwa hiyo mpaka hivi majuzi Tanzania ilikuwa inakubali ushoga sana tu maana imesaidiwa sana mpaka sasa kuna watu njombe wanatahiriwa kwa hisani ya marekani na hata kugharamia uchaguzi tz haiwezi mpaka ibustiwe na wahisani!! ila sasa ndiyo imeshtuka inaanza kuukataa ushoga?
 
Kajisomee kitabu cha Walter Rodney "How Europe Underdeveloped Africa" uelimike. Tatizo nyie vijana wa leo mnawahusudu sana wazungu mpaka mnasahau hao na wachina hawana tofauti.
Sasa hiyo reference ya Literature nani asiyesoma? Nimekupa mfano mmoja tuu wa SFO sasa kasome speech argument kwenye house utaelewa not namaanisha nini! Ulitetewa wewe na nchiyako shida nyie mrengo wa kulia huwa hamna reference za kutosha ndio kisa hasa cha kuogopa migongano ya hoja na kuleta Polisi.

Hebu kuwa na reference za kutosha sio hiyo rejea ya literature moja, kwani literature review shuleni kwenu ulifundishwa unasoma kitabu kimoja au? The truth is " that won't make enough in endorsing your argument " laazima iwe +,+ literature
 
Sasa ulitakaje?Dawa ya mkopo si kulipa.Unataka upewe mkopo halafu ukishindwa kulipa wakusamehe,ajabu sana.

Uzuri wa China ni kwamba kwa mikopo yao, there are no strings attached.Tatizo la Ulaya na Marekani ni kwamba wanataka mkubali kwanza same sex marriages,shame on them.Halafu Watanzania wenzetu wanawapigia tena "wagosi" wanawapigie chapua.Ajabu sana.Mwanaume unaambiwa uolewe unafurahia!
Khaa kwa hiyo mkuu basi jpm keshakubali ushoga maana juzi kakopa WB
 
...The truth is " that won't make enough in endorsing your argument " laazima iwe +,+ literature
Sasa ndio umeandika nini hapa. Eti unaweka na kakizungu kidogo ka ugoko ili kusisitiza hizi pumba, ha ha ha. Nyie ndio mko tayari kutawaliwa tena na wazungu ili basi tu. Hakuna tofauti yeyote kati ya mzungu na mchina, wote ni wale wale. Waafrica ni lazima wajitambue kwa hili.
 
Sasa ndio umeandika nini hapa. Eti unaweka na kakizungu kidogo ka ugoko ili kusisitiza hizi pumba, ha ha ha. Nyie ndio mko tayari kutawaliwa tena na wazungu ili basi tu. Hakuna tofauti yeyote kati ya mzungu na mchina, wote ni wale wale. Waafrica ni lazima wajitambue kwa hili.
Hebu sahihisha kizungu ugoko wewe MTU! Ongea hoja si kupropagate hutaniweza! Mmoja ya makubwa ya wasiojitambua ni wewe na mob yako!

Hoja yangu ni mzungu ni a million afadhali kuliko huyo mvimba macho mfano ni SFO unabisha nini sasa? Za rada hazikurudi? Na madeni yanu kusamehewa?

Kama niliyoandika hapo ni uongo leta ukweli wako sasa, that is a live reference hebu bisha kwa reference yako sio kulandia huku huna reference except ya Walter Rodney! Poor you
 
kwani tanzania huwa inalipa madeni ya china?


ata huu mkopo waliochukua russia sidhani kama watalipa maana
Unafikiri china ya leo ni ile ya enzi ya mwalimu eeehhh shubaaaamit mikopo ya china ya miaka hii kulipa lazma na tena ndo ina masharti ya kinyonyaji kupindukia.China ujamaa umebaki kwenye museum kwa sasa ni mabepari kuliko mabepari wenyewe wanaijua pesa hatareee hawacheki na kima!
 
Back
Top Bottom