Izzi
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 553
- 1,144
- Thread starter
- #21
Wala mi sina tatizo na mashambulizi; ukitaka kujua wabongo hamnazo - angalia wanavyomshambulia Ontario... hawana sababu zozote za msingi ila wanavyomshambulia utadhani jamaa kawachukulia dada zao!! Wakati in real sense jamaa anajitahidi kutufungua kufanya anachoweza ili kusaidia wengine, na tusisahau hakuna aliekamilika.Pamoja mkuu.
Najua mihemko kwa vile walio nitangulia wamekushambulia sana badala ya kukuelekeza cha kufanya.
Watanzania tunapenda kulaumu na kuponda bila kutoa suluhisho au kusaidia kutatua tatizo, wasamehe tu mkuu.