Benki ya FNB - Tanzania imesitisha kufungua akaunti za Forex

Benki ya FNB - Tanzania imesitisha kufungua akaunti za Forex

Mleta mada anasema kuwa wahudumu wa benk tajwa hapo juu wamemueleza kuwa forex ni illigal
Wapi kasema ni illigal?
------------------ Lakini zoezi halikufanikiwa kwasababu niliambiwa kuwa hivi sasa wameamua kutofungua tena akaunti za FOREX. Wanasema chanzo ni kuwa akaunti nyingi za FOREX zilizofunguliwa na watu before zilikuwa zinatumika kidogo sana halafu watu wanazitelekeza, kwa hiyo inakuwa ni hasara kwa benki.
 
Wapi kasema ni illigal?
She said, namnukuu - "Benki imeamua kufanya maamuzi ya kutofungua akaunti ambazo zinahusika na FOREX kwasababu nyingi. Kwanza FOREX ni illegal (Mimi nikaguna, halafu nikauliza 'Ni illegal hapa TZ au' - akajibu ni illegal tu), halafu pili ni kweli tulikuwa tunapokea wateja ambao walikuwa wanatumia benki yetu katika shughuli zinazohusisha FOREX, ila wengi wao wanazitumia kwa muda mfupi kisha wanazitelekeza, inabaki kuwa ni hasara kwetu. Hao hao utakuta baada ya muda wanarudi tena wanaomba tuzifufue akaunti zao. So, tukafika mahali kama benki tukaamua kuwa hatutofungua 'akaunti za FOREX', otherwise mtu atuambie anafungua akaunti kwa shughuli nyingine tofauti na FOREX" Mwisho wa kunukuu.

N:B Naona watu wananiandama juu ya hilo neno 'AKAUNTI ZA FOREX'. Naomba niiweke sawa; hilo neno alikuwa analirudia rudia kulitamka yeye, mimi sikwenda pale na kuomba kufungua akaunti ya Forex. Mimi nilienda nikiomba kufungua akaunti personal, kwaajili ya savings na online transactions. Swali likaja - unafanya shughuli gani? Kwa kutokujua maamuzi yao beforehand nikataja na FOREX,na kuwasifia kuwa benki yao imepata wafuasi wengi wanaopitisha miamala yao ya FOREX.

Naamini nimejibu maswali mengi kwa mara moja. Otherwise, binadamu mmoja ajitolee aende pale Ohio akathibitishe hili kwa namna anayojua yeye halafu atuletee feedback.
 
Kudeposit: Bank-Skrill-Broker
Kuwithdraw: Broker-Skrill-Bank

Hivi kuweka Skrill kama middle-men hapo una solve nini... Kwanini usitumie bank-broker straightforward. Nini kinashindikana hapo, ama changamoto ni ipi mpaka kuongeza mzunguko wa transaction. Issue ni security, transaction costs ama nini hasa???
 
Bankers ni wahuni wahuni hawana lolote, fungua personal account iwe na visa or mastercard yakuweza kutuma na kupokea pesa full stop ukianza kuwaelezea maforex hao ni haters

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacheza forex wengi baada ya kudeposit kwa broker akaunt zikaungua wakazitelekeza, bank wamekuambia ni illegal wanakuonea huruma utapoteza pesa zako
 
Wapenda Forex/kusoma motivation books mnapendaga kutumia neno HATER.

dodge
Absolutely, is there anything wrong with that.. boy?🤷‍♂️
 
Hivi kuweka Skrill kama middle-men hapo una solve nini... Kwanini usitumie bank-broker straightforward. Nini kinashindikana hapo, ama changamoto ni ipi mpaka kuongeza mzunguko wa transaction. Issue ni security, transaction costs ama nini hasa???
Kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba brokers wengi wanakubali kudeposit straight from bank lakini kuwithdraw watakuruhusu kutoa kile ulichodeposit tu(ni kama wanafanya refund), na kinachobaki kama faida wanashauri utumie e-wallets ndipo anaingia skrill hapo, wengine watajazia.
 
Hivi kuweka Skrill kama middle-men hapo una solve nini... Kwanini usitumie bank-broker straightforward. Nini kinashindikana hapo, ama changamoto ni ipi mpaka kuongeza mzunguko wa transaction. Issue ni security, transaction costs ama nini hasa???
Unaweza tumia skrill kama benki ndogo pia.

Most of brokers wanakubali kudeposit kwa skrill.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuweka Skrill kama middle-men hapo una solve nini... Kwanini usitumie bank-broker straightforward. Nini kinashindikana hapo, ama changamoto ni ipi mpaka kuongeza mzunguko wa transaction. Issue ni security, transaction costs ama nini hasa???
Kudeposit kwa kadi inachukua one week!
 
Back
Top Bottom