Benki ya FNB - Tanzania imesitisha kufungua akaunti za Forex

Benki ya FNB - Tanzania imesitisha kufungua akaunti za Forex

Hivi kuweka Skrill kama middle-men hapo una solve nini... Kwanini usitumie bank-broker straightforward. Nini kinashindikana hapo, ama changamoto ni ipi mpaka kuongeza mzunguko wa transaction. Issue ni security, transaction costs ama nini hasa???
Nadhani Bank za Tanzania zitakuwa zimezuiwa kufanya miamala ya forex, Nilijaribu kudeposit kwa kutumia card yangu ya Equity na CRDB kwenda hotforex sikufanikiwa, wakati nilikuwa nafanya deposit bila shida.
 
Wengine bado tumestuck. Je mazingira ya Benki yakoje? Benki gani nzuri kudeposit na kuwithdraw?
 
Nadhani Bank za Tanzania zitakuwa zimezuiwa kufanya miamala ya forex, Nilijaribu kudeposit kwa kutumia card yangu ya Equity na CRDB kwenda hotforex sikufanikiwa, wakati nilikuwa nafanya deposit bila shida.

Bado unakwama mzee?
 
Inalipa kweli.
1582203742826.png
 
Mkuu samahani, ni bank gani inapokea pesa kutoka Skrill, inachukua muda gani na makato yapo vipi
Bank zote zinapokea hela kutoka Skrill ila mradi usajili card yako kufanya online transactions
 
Bank zote zinapokea hela kutoka Skrill ila mradi usajili card yako kufanya online transactions
Equity hawapokei ila ku deposit Skrill ipo vizuri. Nikitoa hela haifiki lakini inakatwa kwenye Skrill account, sasa sijui hela inaendaga wapi au nini kinazuia
 
Back
Top Bottom