Benki ya NMB imenitumia Shilingi 10,024,061,002,406 kimakosa

Hata mia sikuitaka Mkuu sijafunzwa hivyo niliacha wakaivuta wao
Huwa kwa sasa mambo ni kuiona fursa na kuitumia,huenda ungevuta hata moja mwenye mzigo wake angejitokeza na hata ukapata kianzio cha maisha cha uhakika!Wanakula wanasaza wana vimbiwa nyakati hizi,huku wengine wakifa njaa!
 
Mnaomwambia angeitoa, angeitoaje?

Mifumo ya kibenk ya kipuuzi sana inatukosesha watu mambo mazuri . 😂
 
NMB hawana ukwasi wa hiyo hela so acha kutupanga mkuu over
 
Umepewa chance ya kuwa tajiri ukaiacha
shauri yako
 
We ushakuwa mwehu nenda katibiwe
 
chizi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…