ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
unachafua bank za watu na ushahidi unaweka kabisa wa uongo
Kwamba,walikutumia bajeti ya nchi?Kwani wewe ni "Waziri wa Maisha na Kuishi" wa Burundi?NMB plz msiniingize majalibuni na Sina tamaa Kwa pesa ambayo siyo haki yangu na jasho langu,kuweni makini mtakuja kukosea Kwa vishoka hatimae kiwe kilio kwenu. Jana mmenitumia TZS 10,024,061,002,406 = Shilingi trilioni 10.024 (takribani) na sikutoa hata mia ndani ya dakika 45 hivi ndo mkairudisha.
Jana nimekuwa trionea Kwa nusu saa Asante sana NMB
View attachment 3646499
View attachment 3646535
Naichafuaje mkuu? Unataka kusema hiyo transaction nimebuni? Mbona unakuwa mxenge Sasa,nimesema talehe 7 niliangalia Salio kwenye account yangu nikakuta kitita hicho lkn baada ya kuangalia Tena wakazitoa.kifupi nilipozoona niliendelea na mishe zangu nikakaa kama dakika 45 nikaangalia Salio hazikiwepo tena.sasa unabisha nini hapo?unachafua bank za watu na ushahidi unaweka kabisa wa uongo
Hayo umeongea wewe.ila nachojua inatokeaga tu mkuu nii ni mfumo pindi Fulani inazingua. Ww hujawahi kukosea transaction ikaenda Kwa mwingine? Kwahyo wewe mzembe? Acha Upumbavu kalio wewemaanake unaaminisha bank inafanya kazi kwa uzembe kiasi hiko unachafua brand za watu mzee
Wambie waelewe Mkuu.We jamaa mjinga sana unadhani unaweza kufanya transaction ya hicho kiasi kwa wakati mmoja? Hata kampuni kubwa haziwezi kufanya zaidi transaction ya bilion 50 kwa siku
Baina ya 6 na moja nimesema kuna gepu siyo trillion hiyo tumia akili...mambo ya nomba za fedha siyo kama namba za tokeni za umeme ... nikiandika 100 200 300 maana yake siyo milion 100 na laki 3 mia 3Kama imejirudia hayo ndo makosa wamefanya dable.sasa unabisha nini hapo siyo Trion 10?
Baina ya 6 na moja nimesema kuna gepu siyo trillion hiyo tumia akili...mambo ya nomba za fedha siyo kama namba za tokeni za umeme ... nikiandika 100 200 300 maana yake siyo milion 100 na laki 3 mia 3Kama imejirudia hayo ndo makosa wamefanya dable.sasa unabisha nini hapo siyo Trion 10?
Umepotelea wapi mdogo wangu?Kijana wa hovyo kabisa ukufe tu huna maana
ndio nilcho maanishaSawa ila hiyo aliyo spost siyo trillioni ni 1,002,406 sema imejirudia mara mbili
unaweza okotaTatizo unakichwa kigumu .Sasa hiyo transaction nimetoa wapi?
BoyaHata hivyo sijachukua hata mia
Bwege weweNMB plz msiniingize majalibuni na Sina tamaa Kwa pesa ambayo siyo haki yangu na jasho langu,kuweni makini mtakuja kukosea Kwa vishoka hatimae kiwe kilio kwenu. Jana mmenitumia TZS 10,024,061,002,406 = Shilingi trilioni 10.024 (takribani) na sikutoa hata mia ndani ya dakika 45 hivi ndo mkairudisha.
Jana nimekuwa trionea Kwa nusu saa Asante sana NMB
View attachment 3646499
View attachment 3646535
Angetwambia tutoke seburen kwa mashemeji zetuBora wameitoa haraka maana ungeanza kututukana humu kuwa hatuna kazi
NMB plz msiniingize majalibuni na Sina tamaa Kwa pesa ambayo siyo haki yangu na jasho langu,kuweni makini mtakuja kukosea Kwa vishoka hatimae kiwe kilio kwenu. Jana mmenitumia TZS 10,024,061,002,406 = Shilingi trilioni 10.024 (takribani) na sikutoa hata mia ndani ya dakika 45 hivi ndo mkairudisha.
Jana nimekuwa trionea Kwa nusu saa Asante sana NMB
View attachment 3646499
View attachment 3646535