We jamaa mjinga sana unadhani unaweza kufanya transaction ya hicho kiasi kwa wakati mmoja? Hata kampuni kubwa haziwezi kufanya zaidi transaction ya bilion 50 kwa sikuNdani ya sekunde moja tu zote zingekuwa zinasoma igrowth
Mbona baina ya 6 na 1 kuna gepu hiyo ni mil 1 ila imejirudia mara mbili siyo trillion...wewe huoni 🏃♂️😁NMB plz msiniingize majalibuni na Sina tamaa Kwa pesa ambayo siyo haki yangu na jasho langu,kuweni makini mtakuja kukosea Kwa vishoka hatimae kiwe kilio kwenu. Jana mmenitumia TZS 10,024,061,002,406 = Shilingi trilioni 10.024 (takribani) na sikutoa hata mia ndani ya dakika 45 hivi ndo mkairudisha.
Jana nimekuwa trionea Kwa nusu saa Asante sana NMB
View attachment 3646499
wewe smart sana sioWe jamaa mjinga sana unadhani unaweza kufanya transaction ya hicho kiasi kwa wakati mmoja? Hata kampuni kubwa haziwezi kufanya zaidi transaction ya bilion 50 kwa siku
fake newsMbona baina ya 6 na 1 kuna gepu hiyo ni mil 1 ila imejirudia mara mbili siyo trillion...wewe huoni 🏃♂️😁
Sawa ila hiyo aliyo spost siyo trillioni ni 1,002,406 sema imejirudia mara mbilifake news
Sawa ila hiyo aliyo spost siyo trillioni ni 1,002,000 sema imejirudia mara mbili
Kama imejirudia hayo ndo makosa wamefanya dable.sasa unabisha nini hapo siyo Trion 10?Sawa ila hiyo aliyo spost siyo trillioni ni 1,002,406 sema imejirudia mara mbili
fake news
Hii ni chai. Ukiangalia muda ulipoangalia salio ukakùta kuna 10bn na muda ulioangalia salio na kukuta 1m ni uleule: 19:28:58NMB plz msiniingize majalibuni na Sina tamaa Kwa pesa ambayo siyo haki yangu na jasho langu,kuweni makini mtakuja kukosea Kwa vishoka hatimae kiwe kilio kwenu. Jana mmenitumia TZS 10,024,061,002,406 = Shilingi trilioni 10.024 (takribani) na sikutoa hata mia ndani ya dakika 45 hivi ndo mkairudisha.
Jana nimekuwa trionea Kwa nusu saa Asante sana NMB
View attachment 3646499
View attachment 3646535
kwahiyo ingekuwa milioni mbili sasa hio trillioni umeitoa wapi?Kama imejirudia hayo ndo makosa wamefanya dable.sasa unabisha nini hapo siyo Trion 10?
Kwahiyo kama mteja akizitoa vinaweza kutoka?Hizi ni number mkuu sio cash hao hao NMB wanaweza kukutumia hata Quadrilion ,, kumbuka ni number na sio cash