Benki ya NMB imenitumia Shilingi 10,024,061,002,406 kimakosa

unachafua bank za watu na ushahidi unaweka kabisa wa uongo
 
maanake unaaminisha bank inafanya kazi kwa uzembe kiasi hiko unachafua brand za watu mzee
 
Kwamba,walikutumia bajeti ya nchi?Kwani wewe ni "Waziri wa Maisha na Kuishi" wa Burundi?
 
unachafua bank za watu na ushahidi unaweka kabisa wa uongo
Naichafuaje mkuu? Unataka kusema hiyo transaction nimebuni? Mbona unakuwa mxenge Sasa,nimesema talehe 7 niliangalia Salio kwenye account yangu nikakuta kitita hicho lkn baada ya kuangalia Tena wakazitoa.kifupi nilipozoona niliendelea na mishe zangu nikakaa kama dakika 45 nikaangalia Salio hazikiwepo tena.sasa unabisha nini hapo?
 
maanake unaaminisha bank inafanya kazi kwa uzembe kiasi hiko unachafua brand za watu mzee
Hayo umeongea wewe.ila nachojua inatokeaga tu mkuu nii ni mfumo pindi Fulani inazingua. Ww hujawahi kukosea transaction ikaenda Kwa mwingine? Kwahyo wewe mzembe? Acha Upumbavu kalio wewe
 
Kama imejirudia hayo ndo makosa wamefanya dable.sasa unabisha nini hapo siyo Trion 10?
Baina ya 6 na moja nimesema kuna gepu siyo trillion hiyo tumia akili...mambo ya nomba za fedha siyo kama namba za tokeni za umeme ... nikiandika 100 200 300 maana yake siyo milion 100 na laki 3 mia 3
 
Bwege wewe
 
Attachments

  • IMG_0830.jpeg
    184.2 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…