Benki ya NMB yanusurika kulipuliwa na bomu

Benki ya NMB yanusurika kulipuliwa na bomu

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
mwananchi_official~p~CiohVKsoezV~1.jpg


Yapo maswali mengi hapa:

Je, Tanzania kuna magaidi?!

Usalama wa maeneo kama Kanisani na misikitini na hata penye mikusanyiko yenye idadi kubwa ya watu kuna usalama tena?
 
K
Mwananchi limekuwa gazeti la kijinga

Limebaki kuwasafisha kina makamba kila siku
Kama unaona haliandiki unayoyataka kwanini usiandike wewe kwa ushahidi ulionao? Yaani ninyi watu wengine furaha yenu nikuona watu wengine wakiumia au kuumizwa hata bila hatia, hizo Ni Roho za kishetani zinazopaswa kukemewa kwa nguvu zote mpaka pepo Hilo la kishetani litoke
 
Inaonekana usalama kwenye benki zetu sio wa kuridhisha, wale askari huwa wanamaa milangoni tu na SMG zao mikononi mpaka wakati mwingine wanaanza kusinzia.

Pawepo na vyombo vya ku detect vilipuzi kama ilivyo bandarini na airport, ila huyo aliyetaka kulipua benki ina maana alitaka kuzilipua mpaka noti, huo moto wa mlipuko si ungeziunguza noti?
 
uchunguzi serious unahitajika sio kuchukulia mambo mzaha mzaha kama kawaida yetu.

Vyombo husika wanapaswa kwenda deep kujua nia ilikuwa nini, kulipua Bank au mhusika alisahau tu alikuwa na issue zake nyingine, kama nia ilikuwa kulipua bank Je kwanini walikuwa na wazo hilo na nini kifanyike kuwe salama na safe?
 
Issue yeyote inahusisha usalama haitaki mzaha hata kidogo, sensitive people should be involved for proper investigation na kuwa na majibu sahihi.

inaweza ikawa salamu hiyo na watu kupima namna gani mnachukulia mambo ili kesho waendelee na programe za kuwadestabilize.

Kwasasa eneo la lake zote linahitaji jicho kali sana la kiusalama + Eneo la kusini, watu wetu wanapaswa kiwa field kweli na kutumia akili nyingi na sio miguvu.

Lake zone kwa sasa kuna muingiliano mkubwa sana wa watu kutoka nchi jirani Rwanda na Burundi na wengi ni wafanyabiashara wakubwa wenye hela, proper scaning of people needed na daily activities zao, intelligent people huwa wana long term plan kukamilisha projects zao.
 
Akili za ndezi hizi. Kwani magaidi tu ndiyo hutega mabomu?
😁Ila Mitandaoni kuna watu wa tofauti sana, sasa Mkuu unambishia mwenzio kitendo cha mtu kutaka kulipua sehemu yenye watu wengi kwa bomu sio ugaidi ?

Kwahiyo Civics ya form 2 ile inadanganya watoto shuleni kuhusu ugaidi ?
 
Inaonekana usalama kwenye benki zetu sio wa kuridhisha, wale askari huwa wanamaa milangoni tu na SMG zao mikononi mpaka wakati mwingine wanaanza kusinzia.

Pawepo na vyombo vya ku detect vilipuzi kama ilivyo bandarini na airport, ila huyo aliyetaka kulipua benki ina maana alitaka kuzilipua mpaka noti, huo moto wa mlipuko si ungeziunguza noti?
ddddddxxxxxxzzzxxxxxxxxxdddddddfddddssßß
 
Shida iko namna ya kuripoti. Mleta mada kachukua Heading katika gazeti na kutuachia tujadili wakati alipaswa kuchunguza kwanza hiyo habari na kujua ni aina gani ya vilipuzi maana hata kibiriti na chupa ya K vant yaweza kuwa kilipuzi ila taharuki yake inategemea na aina ya reporting.


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ugaidi upo, nakumbuka kulikuwa na ile kesi ya ugaidi mpaka kuna polisi walitoa ushahidi

IMG_20211112_160343.jpg
 
Big things and dangerous things are coming always be on alert, maisha hayanaga mazoea, penye ukwaida ibilisi ahamiae toka kwingine hujisitiri pasipo hata shaka nae.

Hata hatari zilizopo Kampala Uganda kuhusu usalama wa raia na Mali zao ulianza kama kipele.
 
Back
Top Bottom