Benki ya NMB yanusurika kulipuliwa na bomu

... title ya hii habari haijakaa sawasawa; at least "Tawi la Benki ya NMB Shinyanga Lanusurika Kulipuliwa kwa Bomu". Nilishafikiria kwenda kutoa ka-amana kangu huko fasta.
 
😁Ila Mitandaoni kuna watu wa tofauti sana, sasa Mkuu unambishia mwenzio kitendo cha mtu kutaka kulipua sehemu yenye watu wengi kwa bomu sio ugaidi ?

Kwahiyo Civics ya form 2 ile inadanganya watoto shuleni kuhusu ugaidi ?
Hata mimi nimeshangaa griti thinka hajui maana ya terrorism ni kitendo cha kuleta taharuki na hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…