Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

Sawa nimeelewa maana yake, lakini DATA ninayoiomba huwezi kuipata kwenye branches ni lazima watoe top Management!!
Unafanya sample survey Bank chache utaelewa kilichoandikwa,
Au kama unajamaa yako banker also ask him|her
 
Unafanya sample survey Bank chache utaelewa kilichoandikwa,
Au kama unajamaa yako banker also ask him|her

This information is readly available within the bank's top management kwanini ufanye utafiti? You do not seem to understand my request!
 
This information is readly available within the bank's top management kwanini ufanye utafiti? You do not seem to understand my request!
Acha ubishi unachoambiwa ndio ukweli, Mabenki yanategemea mikopo zaidi
 
inawezekana maana Mgodi wa GGM ulikuwa unataka kukopa Triliion za fedha kutoka Bank za Nje ya Tanzania Serikali ikataaa hivyo zikaungana benk ikiwemo NMB&CRDB zikaikopesha GGM.So faida hiyo aitokani kwa kukua kwa Biashara za Watanzania wa kawaida.
Kama Kuna kaukweli,kibongo bongo biashara zinakufaa huku mitaani,tunashindwa kurejesha mikopo ,hizi tafti za Hawa jamaaa hazina uwalisia wa maisha halisi ya mtanzania
 
Nadhania sababu ni kuwa COVID-19 imepungua makali duniani. Biashara zilizokuwa zinakwama zimeendelea, usafirishaji ulikwama either exports au imports ila sasa unafunguka zaidi. Hii recovery itaendelea kidogo mpaka tuwe stable kisha ishuke chini kiasi alafu hapo ndio ikue kimikakati au ishuke kwa uzembe.
 
Wafanyabiashara wakikopa ina maana investment zinaongezeka/biashara inaongezeka. Uchumi unachemka, faida inapatikana na kodi inalipwa, ajira zinaongezeka, kodi ya PAYE nayo inapatikana, serikali inapata pesa, serikali ikipata pesa inatoa huduma nzuri kwa wananchi, wananchi wanakuwa na afya njema wanafanya kazi zaidi. Vipato vya wananchi vinaongezeka, wanafanya saving na wana invest, wanalipa kodi, fuko la serikali linazidi kuwa nono, nchi inajengwa! Multiplier effect.
 
Kimbunga hii imekaa vizuri zaidi,
 
Hongera sana Rais Samia, We proud on you 😍
 
😍
 
😍
 
upuuz mtupu..hizo bank labda mnazjaza madeni mnayozunguka kuomba omba uko nje....

hali ya maisha bado ni mbaya tena mbaya zaid, huduma za kijamii mitaani ni hovyo, mfan umeme&maji ni shida, miundombinu ya hovyo mpka mijini, mahospitali madawa& huduma bei juu, nazo bima hazifanyi kazi lengwa kama ilivyokusidiwa,

mikopo kwa wanafunzi bado hali ni tete, kwenye kilimo huko ndyo hata siongei kitu, leo hii kinaibuka kibwengo chenye ajira ya ualimu kisichojua uhalisia wa maisha ya wananchi na kuanza kusifia eti uchumi unainuka, sasa sjui uo uchumi wawap unaokuwa.

huyo bibi msafiri hakuna kitu anafanya
 
Mkuu punguza itikadi za vyama,

Hii haijatolewa na Serikali wamefanya Utafiti The Citizen wenyewe,

Kama unataka kupinga pinga The Citizen sio Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…