Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

Nzuri sana hii
 
Duuu naona mapicha picha tu chini ya hawa ndugu zangu wa kijani
 
Mama lao 2021-2030
 
Inawezekana maana Mgodi wa GGM ulikuwa unataka kukopa Triliion za fedha kutoka Bank za Nje ya Tanzania Serikali ikataaa hivyo zikaungana benk ikiwemo NMB&CRDB zikaikopesha GGM.So faida hiyo aitokani kwa kukua kwa Biashara za Watanzania wa kawaida.
Kumbe
 
Ofa ofa!!!!Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Unaunganisha kwa wizi au ni ofa za kawaida za TIGO?
 
Labda sasa benki zimeanza kuikopesha serikali hela zake kama ilivyokua enzi ya awamu ya 4.πŸ˜‚πŸ˜‚ Hebu wajuzi watuhabarishe kama kwa vipi benki sasa ni faida tu
 
Policy za samia ndio zibadili faida ndani ya miezi 6?? Sababu ya haya mabadiliko ni hii document ya BOT. Sera za Samia na faida zake zitaonekana mwaka wa Fedha ujao sio huu. Tusimpambe sana

View attachment 1998044
Policy za samia ndio zibadili faida ndani ya miezi 6?? Sababu ya haya mabadiliko ni hii document ya BOT. Sera za Samia na faida zake zitaonekana mwaka wa Fedha ujao sio huu. Tusimpambe sana

View attachment 1998044
Haya yalishindwaje kutokea mwaka jana, Kumbuka mabenki haya yanatoa "Working capital Loan " ambayo inalipwa bila grace period,

Ukipewe leo mkopo unarejesha tarehe kama ya leo mwezi ujao,

EMI= PRINCIPLE +INTEREST

Faida ya haya mabenki ni papo kwa papo sio mpaka mwaka uishe
 
Labda sasa benki zimeanza kuikopesha serikali hela zake kama ilivyokua enzi ya awamu ya 4.πŸ˜‚πŸ˜‚ Hebu wajuzi watuhabarishe kama kwa vipi benki sasa ni faida tu
Baishara imefunguka
 
Perfectly and well out. Hayo ndiyo matokeo ya conducive business environment and investment climate.

Mwendazake alikuwa HOSTILE na foreign investors na alikuwa reckless tyrant hata kwa local business people.

He had to DIE by any means for our country to escape becoming another Zimbabwe. Praise to our God
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…