Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Super Samia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante SanaPromising time as Tanzania's banking sector set for record profit
MONDAY NOVEMBER 01 2021....
Huyu mama ananini?
Mbona kila kona anatusua tu duuuh,
Samia anaupepo balaa aise,
Huu unafiki sio mzuri kabisaCoz ubaya mpk utoke kwenye uongozi ndio wanakusema ubaya wako
Safi sana mwandishiWachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana...
Miamala imefanya nini kiongozi?Hadi kwenye miamala anatusua sio
Politicization of reports inapotosha hali halisi...katika hiyo faida ya 471 Billion NMB na CRDB ni 80% na benki ya tatu ni kama 40 something billion.Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana...
inategemea na investment mkuuPoliticization of reports inapotosha hali halisi...katika hiyo faida ya 471 Billion ...NMB na CRDB ni 80% na benki ya tatu ni kama 40 something billion.hivyo ina maana zaidi ya 50% ya mabenki nchini yanaogelea hasara na yapo hatarini kufungwa.lazima tujue hili ili tuyasaidie mabenki yajikwamue
Nchi inazungumzia general effect mkuu,Politicization of reports inapotosha hali halisi...katika hiyo faida ya 471 Billion ...NMB na CRDB ni 80% na benki ya tatu ni kama 40 something billion.hivyo ina maana zaidi ya 50% ya mabenki nchini yanaogelea hasara na yapo hatarini kufungwa.lazima tujue hili ili tuyasaidie mabenki yajikwamue
Safi SanaWachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana ...
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana...
Kila kitu kinakwenda vizuriWachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana...
Faida kutoka Mikopo waliyoipa serikali kulipa mishahara na miradi hewa, watu binafsi hawachukui mikopo bank ni very expensive ndio maana uwekezaji hakuna, uwekezaji uliopo ni wa wahindi na matajiri wanaokopeshana wenyewe kwa wenyewe au mabenki ya njeMimi sio mchumi isipokuwa kwa akili yangu ya kawaida tafsiri yake ni kwamba uchumi unafunguka, uwekezaji unaongezeka vikiambatana na ongezeko la mzunguko wa fedha kupitia ajira na huduma kupitia uwekezaji utakaofanywa na mikopo hiyo iliyozaa faida hiyo.
Nadhani ni hatua nzuri kiuchumi.
Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani...
zipi hizo chiefTAKWIMU ZINGINE ZINATIA SHAKA
Safi sana hiiWachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma kulegea?
Mtakumbuka kwa mara ya mwisho hapa Tanzania mabenki yetu ya biashara kurekodi faida ya kihistoria ilikuwa ni mwaka 2015 pale ambapo yalirekodi Jumla ya faida ya TZS 438BL hii ni baada ya kulipa kodi ya Serikali.
Mtakumbuka pia kwamiaka mitano mfululizo iliyopita mabenki haya hayajaweza kabisa kuivunja rekodi hii zaidi sana wakati flani faida zao zilishuka mpaka kufikia Jumla ya Tshs 286BL mwaka 2017 hii ilikuwa ni Jumla ya faida kwa mabenki yote ya biashara nchini kwa mwaka huo.
Leo chini ya Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan tena kwa kipindi kifupi cha Jan -Sept mabenki hayo hayo kwenye nchi hii hii yameivunja ile rekodi iliyowekwa na Dk Jakaya Kikwete kwa faida ya Tshs 438BL kwa zaidi ya 7.53% na hii ni kwa robo tatu tu ya mwaka.
Kwalugha rahisi miezi michache ya Rais Samia mabenki yamevunja rekodi ya faida ya tangu uhuru ambayo ilivunjwa kwa mara ya mwisho na Mzee Jakaya Kikwete kwa thamani ya faida ya Tshs 438BL leo Samia ameivunja kwa thamani ya faida ya Tshs 471BL na hii ni kwa miezi tu, tunaposema Rais Samia hakamatiki tunamaa hii.
Kwa tathimini iliyofanywa kwa mabenki 13 ya kibiashara nchini kati ya 14 yanayotengeneza faida kila mwaka ni NMB na CRDB tu ndio wamebeba 80% ya faida yote ya Tshs 471BL kwa kuwa na faida ya Jumla ya Tshs 379BL,Wakati huohuo NPL yaani Non Performing Loans au mikopo " Chechefu " ikishuka na kufikia chini ya 35.7% kwa baadhi ya mabank huku thamani yake ikupungua kutoka tshs 395.69BL mwaka 2020 hadi tshs 392.4BL kwa lugha ya kibenki (arrears -zimepungua )
Sababu kubwa yaongezeko hili kubwa la Faida kwa mabenki yetu ya biashara nchini zinatajwa kuwa ni Sera nzuri za ki-Uchumi za Serikali ya awamu ya Sita Chini ya Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na miongozo mathubuti toka BOT kama mlezi wa mabenki haya hasa kwenye kupunguza vipimo vya risk kwenye utoaji mikopo ikiwa ni pamoja na kutoa fedha maalumu "Stimulating fund " kiasi cha Tshs 1trl ili kuziongezea Ukwasi baadhi ya Benki zetu za biashara zilizokaukiwa hii imesaidia sana kuinua sekta ya fedha ambayo utoaji mikopo kwa mujibu wa BOT umepanda toka 2.5% 2020 hadi 9.8% hivi sasa,
Kwamsiofahamu zaidi ya 80% ya faida yote ya mabenki ya biashara inabebwa na mikopo na Ukiona mabenki yanapata faida sana maana yake yamekopesha sana na wateja wao wameweza kurejesha mikopo yao ( EMI) kwa wakati na ndio tunasema NPL imeshuka au mikopo isiyolipika|chechefu imepungua na ndio sababu faida imepanda na kwa maana hiyo biashara mtaani inakua au inakwenda vizuri ndio maana mteja X aliyekopa katika benki Y ameweza kuchukua mkopo Benki na kununua bidhaa na kisha kuziuza na mwisho kupeleka marejesho ya Benki kwa wakati yaani ( Purchasing Power-Uwezo wa kununua kwa Watanzania ) umeongezeka , Hongera Sana Rais Samia hakika unaupiga mwingi,
Kazi iendelee, We proud thenWachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma kulegea?