Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

Jana nilikuwa na watu wa CRDB, kwa mara ya kwanza nikisikia walikili wazi wazi kuwa kipindi cha Hayati Magufuli hali ikiwa mbaya sana na walimuita kwa lugha ya mwendazake.

Walieleza kuwa wao kama wao walikuwa wanaamini pesa zote nchini zinamilikiwa na Magufuli tu na kwa lugha rahisi walijisemea kuwa mzee ndiye anashikilia ATM card ya taifa.

Walienda mbali zaidi wakasema kwa sasa hali ni nzuri na inaendelea kuwa nzuri sana na soon mambo yatakuwa mazuri zaidi ikiwemo kushusha riba za Mikopo.
 
Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana...
Politicization of reports inapotosha hali halisi...katika hiyo faida ya 471 Billion NMB na CRDB ni 80% na benki ya tatu ni kama 40 something billion.

Hivyo ina maana zaidi ya 50% ya mabenki nchini yanaogelea hasara na yapo hatarini kufungwa.lazima tujue hili ili tuyasaidie mabenki yajikwamue
 
inategemea na investment mkuu
 
Nchi inazungumzia general effect mkuu,
 
Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana...
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Ni faida za mikopo waliyoipa serikali, serikali ilichukua mikopo mingi sana kutoka mabenki ya ndani, nafikiri sio kitu kibaya acha faida ibaki ndani
 
Faida kutoka Mikopo waliyoipa serikali kulipa mishahara na miradi hewa, watu binafsi hawachukui mikopo bank ni very expensive ndio maana uwekezaji hakuna, uwekezaji uliopo ni wa wahindi na matajiri wanaokopeshana wenyewe kwa wenyewe au mabenki ya nje
 
Safi sana hii
 
Kazi iendelee, We proud then
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…