Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

Hadi Kimei mwenyewe anasema mabenki yanapata faida kubwa, riba ipunguzwe.

 
Kumbe Benki zetu bado ndogo sana na hii inawezekana inatokana na udogo wa uchumi wetu hiyo faida combined ni faida ya Equity bank mwaka jana. Hii ni dalili moja wapo ya ukubwa wa uchumi wa Kenya kwa Tanzania.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Faida yanapata kutokana na kutupiga riba kubwa
Ne
Sekta ya Bank Tanzania iko vizuri tatizo liko kwa walaji,

Watanzania wengi bado hawatumii Bank

Tutafika madamu mama yupo
 
Unaelewa upotoshaji?
 
NATAKA KUONA SEKTA ILIYOCHANGIA KODI NYINGI KWA KIPINDI HIKO HIKO KAMA ILIKUWA NI BENKI AU KIWANDA CHA BIA?
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…