CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
🤣🤣🤣🤣 nadhani ni HighlightUmeomba wachumi wakidadavulie, halafu unatoa maelezo [emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 nadhani ni HighlightUmeomba wachumi wakidadavulie, halafu unatoa maelezo [emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu naomba tu tuungane, huu uchumi wa namba namba hakika kuueleza kuwa umekua/umeongezeka ni rahisi.Kama Kuna kaukweli,kibongo bongo biashara zinakufaa huku mitaani,tunashindwa kurejesha mikopo ,hizi tafti za Hawa jamaaa hazina uwalisia wa maisha halisi ya mtanzania
Mimi sio mchumi isipokuwa kwa akili yangu ya kawaida tafsiri yake ni kwamba uchumi unafunguka, uwekezaji unaongezeka vikiambatana na ongezeko la mzunguko wa fedha kupitia ajira na huduma kupitia uwekezaji utakaofanywa na mikopo hiyo iliyozaa faida hiyo........
Nadhani ni hatua nzuri kiuchumi....
Zinaanza namba then hali halisi mkuu, Subiri utaona matokeo ila fanya kazi kwa bidiiNdugu yangu naomba tu tuungane, huu uchumi wa namba namba hakika kuueleza kuwa umekua/umeongezeka ni rahisi.
Kiu yangu nataka tafsiri itokee kwetu mitaani, tuone mabadiliko katika maisha, uwezo wa kununua mahitaji ya msingi ya nyumbani, tuone uwiano wa bidhaa tunazouza na zile tunazonunua. Mfano upaaji wa bei za vifaa ujenzi: misumari,bati, saruji vs mauzo na bei za mazao (bidhaa mama kwa wananchi scale kubwa)
Vinginevyo kwa namba hizi na madai ya kukua nahisi mwandishi unatupiga
Kuna ukweli ndani yakeBaada ya watumishi kuongezewa mishahara kutokana na kupanda kwa madaraja, wengi walikimbilia kukopa hivyo inawezekana hii ni moja ya sababu iwapo taarifa hii ni ya kweli na sio propaganda za kisiasa.
Khaaa yaani miaka mitano yote bila bilaKwa akili zako mkopo wa bank ni sawa na ule unaoochukua duka la Mangi, unakopa bidhaa leo unalipa baada ya siku mbali tatu.
Kama kweli kuna mafanikio hayo basi credit zinaenda kwa hayati, ina maana baada ya kutoa ufisadi na kuyumbisha mapato rahisi rahisi ya Banks. Jamaa walijipanga na kufanya biashara na haya ndio matunda.
Kuna wasaa muwe mnafikiria aina ya post za kitoto kama hizi; na hayo magazeti uchwara, yenye kuchochea ufisadi.
Ndio tofauti yetu ilipo wewe kama chawa upo kutafuta mlo ata ikibidi kuandika uongo.Khaaa yaani miaka mitano yote bila bila
Hapa nakupinga mkuu,Ndio tofauti yetu ilipo wewe kama chawa upo kutafuta mlo ata ikibidi kuandika uongo.
Halafu kinachoshangaza kwani amuwezi sifia tu without showing ‘binary opposite’ ya Samia na Magufuli; hiyo vita ya popularity awezi shinda kwenye jamii.
Mama abaki kama mama tu kuliko kulinganisha uongozi wake na wamtangulizi wake.
Mama ni habari nyingine kabisaMama anaupiga Mwingi Mikumi tena.
Maana yake pesa iko kwa wingi,Mtakumbuka kwamara ya mwisho mabank yetu ya biashara hapa Tanzania kurekodi faida ya kihistoria ya tangu uhuru ilikuwa ni mwaka 2015 pale ambapo yaliporekodi Jumla ya faida ikiwa ni baada ya kodi ya Tshs 438BL,
Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita mabank haya hayajaweza kuivunja rekodi hii zaidi sana wakati flani faida zao zilishuka mpaka kufikia Jumla ya
Policy za samia ndio zibadili faida ndani ya miezi 6?? Sababu ya haya mabadiliko ni hii document ya BOT. Sera za Samia na faida zake zitaonekana mwaka wa Fedha ujao sio huu. Tusimpambe sanaMtakumbuka kwamara ya mwisho mabank yetu ya biashara hapa Tanzania kurekodi faida ya kihistoria ya tangu uhuru ilikuwa ni mwaka 2015 pale ambapo yaliporekodi Jumla ya faida ikiwa ni baada ya kodi ya Tshs 438BL,
Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita mabank haya hayajaweza kuivunja rekodi hii zaidi sana wakati flani faida zao zilishuka mpaka kufikia Jumla ya T
Pesa chafu, zilizofichwa, inflow toka nje ruksa, hakuna kuchukngulia accounts, freezone magendo madawa, fake fungulia mbwa pia inafaida zake.Mtakumbuka kwamara ya mwisho mabank yetu ya biashara hapa Tanzania kurekodi faida ya kihistoria ya tangu uhuru ilikuwa ni mwaka 2015 pale
Wamepanda madaraja mwaka huu!! Mfano mtu kakopa million 20 mwezi wa kwanza hyo faida ya mkopo wake inaweza kuwa reflected ndani ya miezi 6? Wakati hata principle tu haijalipwa hta robo bado!!Baada ya watumishi kuongezewa mishahara kutokana na kupanda kwa madaraja, wengi walikimbilia kukopa hivyo inawezekana hii ni moja ya sababu iwapo taarifa hii ni ya kweli na sio propaganda za kisiasa.
Wamepanda madaraja mwaka huu!! Mfano mtu kakopa million 20 mwezi wa kwanza hyo faida ya mkopo wake inaweza kuwa reflected ndani ya miezi 6? Wakati hata principle tu haijalipwa hta robo bado!!
Mie naweza ipa credit BOT sababu ilimwaga trillion kwa mabenki kujikimu baada ya Covid pia ilipunguza masharti mfano reserve requirement BOT na masharti ya agency banking n.k But Samia hana impact yoyote ndani ya miezi 9 ya kibenki so hizo faida za Samia labda kuanzia mwakani.
Wivu ukwapi hapo? Ni sawa useme faida za tozo zionekane mwezi huu??? Uchumi ni process hata Mama Samia kasema atamwaga trillion 5 kwa uchumi wa ndani lakini unadhani zitaingizwa kwa mkupuo mmoja?? Hapana inaweza chukua hta miaka 3 mpka ziwe zimezungushwa kwa uchumi!!Ni wivu tu
Mtakumbuka kwamara ya mwisho mabank yetu ya biashara hapa Tanzania kurekodi faida ya kihistoria ya tangu uhuru ilikuwa ni mwaka 2015 pale ambapo yaliporekodi Jumla ya faida ikiwa ni baada ya kodi ya Tshs 438BL,
Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita mabank haya hayajaweza kuivunja rekodi hii zaidi sana wakati flani faida zao zilishuka mpaka kufikia Jumla ya Tshs 286 yaani mwaka 2017 hii ni Jumla ya faida kwa mabank yote ya biashara nchini,
Leo chini ya Rais Samia Suluhu Hassan tena kwa kipindi cha Jan -Sept tu mabank hayohayo kwenye nchi hii hii yameivunja ile rekodi iliyowekwa na Mzee Jakaya Kikwete ya Tshs 438BL kwa zaidi ya 7.53% na hii ni robo tatu tu ya mwaka,
Kwalugha rahisi miezi michache ya Rais Samia mabank yamevunja rekodi ya faida ya tangu uhuru ambayo ilivunjwa na Mzee Jakaya Kikwete kwa Tshs 438BL leo Samia ameivunja kwa Tshs 471BL na hii ni kwa miezi tu, tunaposema Rais Samia hakamatiki tunamaa hii ndungu zangu Watanzania,
Kwa tathimini iliyofanywa kwa mabank 13 ya kibiashara nchini kati ya 14 yanayotengeneza faida NMB na CRDB wamebeba 80% ya faida yote ya Tshs 471BL kwa kuwa na faida ya Jumla ya Tshs 379BL,Wakati huohuo NPL yaani Non Performing Loans au mikopo " Chechefu " ikishuka na kufikia chini ya 35.7% kwa baadhi ya mabank huku thamani yake ikupungua kutoka tshs 395.69BL mwaka 2020 hadi tshs 392.4BL kwa lugha ya kibank (arrears -zimepungua )
Sababu kubwa yaongezeko hili kubwa la Faida kwa mabank ya biashara nchini zinatajwa kuwa ni Sera nzuri za ki-Uchumi za Serikali ya awamu ya Sita pamoja na miongozo mathubuti toka BOT kama mlezi wa mabank haya hasa kwenye kupunguza vipimo vya risk kwenye utoaji mikopo ikiwa ni pamoja na kutoa fedha maalumu "Stimulating fund " kiasi cha Tshs 1trl ili kuziongezea ukwasi Bank zetu za biashara zilizokaukiwa hii imesaidia sana kuinua sekta ya fedha ambayo utoaji mikopo umepanda toka 2.5% 2020 hadi 9.8% hivi sasa,
Kwamsiofahamu zaidi ya 80% ya faida yote ya mabank ya biashara inabebwa na mikopo na Ukiona mabank yanapata faida sana maana yake yamekopesha sana na wateja wao wameweza kurejesha mikopo yao ( EMI) kwa wakati na ndio tunasema NPL imeshuka au mikopo isiyolipika|chechefu imepungua na ndio sababu faida imepanda na kwa maana hiyo biashara mtaani inakua au inakwenda vizuri ndio maana mteja X aliyekopa bank Y ameweza kuchukua mkopo Bank na kununua bidhaa na kisha kuuza na mwisho kupeleka marejesho ya Bank kwa wakati yaani ( Purchasing Power-Uwezo wa kununua ) umeongezeka Tanzania, Hongera Sana Rais Samia hakika unaupiga mwingi,