Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Nini kinawazuia watu kama Songesha kukopesha pesa ambazo hawana?Mkuu, mambo sio rahisi hivyo 😂😂😂 huwez kopesha pesa ambayo huna,
Pia hizo songesha na wenzake ni njia tu,
Kuna bank hapo nyuma yao,
Eg Songesha ni TCB na FINCA hio
Muamala unaoingia kwako na ukautoa Cash unatoka wapi?Nini kinawazuia watu kama Songesha kukopesha pesa ambazo hawana?
Hii nchi watu wanashangaza SanaHii sayansi ndio ambayo hutumika:-
Unapoweka fedha halisia 'bank' au kwenye mihamala, ile fedha inageuzwa kuwa 'digital', na unapotaka fedha halisi, ile digital inageuzwa kuwa fedha halisi ''physical money'' kwa kile kiwango utakachotaka kutoa.
Kwa hiyo unapoomba mikopo mitandaoni, ina maana wao wanabadilisha zile fedha zao kuwa digital, ndipo wanakupatia; ila kiuhalisia lazima wao wawe na pesa halisia, noti.
Songesha ni CRDBMkuu, mambo sio rahisi hivyo 😂😂😂 huwez kopesha pesa ambayo huna,
Pia hizo songesha na wenzake ni njia tu,
Kuna bank hapo nyuma yao,
Eg Songesha ni TCB na FINCA hio
Kwa Riba zao , Songesha labda ni PESAXSongesha ni CRDB
Nini kinawazuia kuingiza digital money hewa? Maana wao hawatoi keshi, ni mawakala ndiyo wanaokupa keshi. Haiingii akilini waifungie keshi sababu wameikopesha mtandaoni!! Vipi mtu akishindwa kulipa, wao kama wakopeshaji wanapata hasara gani?Hii sayansi ndio ambayo hutumika:-
Unapoweka fedha halisia 'bank' au kwenye mihamala, ile fedha inageuzwa kuwa 'digital', na unapotaka fedha halisi, ile digital inageuzwa kuwa fedha halisi ''physical money'' kwa kile kiwango utakachotaka kutoa.
Kwa hiyo unapoomba mikopo mitandaoni, ina maana wao wanabadilisha zile fedha zao kuwa digital, ndipo wanakupatia; ila kiuhalisia lazima wao wawe na pesa halisia, noti.
Kwa wakala.Muamala unaoingia kwako na ukautoa Cash unatoka wapi?
Benki kuu hukopesha pesa ambazo hawana. Tena afadhali hawa wanaingia gharama za kuchapa. Wa mitandaoni hata kujihangaisha kuchapa hakuna, ni zaidi ya benki kuu.Hii nchi watu wanashangaza Sana
Nimeshangaa kuna watu wanasema unaweza kopesha hela ambayo hauna.
Ipo aise ile ni cash kabisa.Hela ya mtandaoni haina hasara kwasababu haipo. Ni namba tu
Ulishawahi kwenda kwenye kibanda cha wakala, ukawapa labda laki, wakakuwekea zaidi?Nini kinawazuia kuingiza digital money hewa? Maana wao hawatoi keshi, ni mawakala ndiyo wanaokupa keshi. Haiingii akilini waifungie keshi sababu wameikopesha mtandaoni!! Vipi mtu akishindwa kulipa, wao kama wakopeshaji wanapata hasara gani?
Unataka kumaanisha nini?Ulishawahi kwenda kwenye kibanda cha wakala, ukawapa labda laki, wakakuwekea zaidi?
Wakikuwekea zaidi, wao ndio watapata hasara; wakikuwekea pungufu wao ndio watapata faida, na wewe hautokuwa tayari kupokea pungufu.
Serikali huingiza pesa benki ambazo wewe huenda kuchukua. Umewahi ona Songesha wanapeleka pesa kwa wakala ambako huwa unaenda kuchukua pesa uliyokopa?Ipo aise ile ni cash kabisa.
Kama ni no tu hata serikali ingetuingizia hizo no wakati wa kulipa mishahara.....